×

Michezo

Urusi Yajiondoa Kwenye Mashindano ya Olimpiki

SERIKALI ya Urusi imetoa tamko leo kuwa, wanariadha wake hawatashiriki michezo ya Olimpiki ya mwaka huu huko Rio De Jenairo,...

READ MORE

Kocha wa Yanga aongezewa mkataba wa miaka miwili

Kocha Hans van der Pluijm. Kocha Hans van der Pluijm amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga. Pluijm amekuwa na...

READ MORE

Man City wapigwa na Bayern Munich bao 1- 0

 Wachezaji wa Bayern Munich na  Man City wakiwania mpira wakati wa mechi hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo  mechi ya kirafiki iliyochezwa...

READ MORE

Tchetche atakuwa ghali zaidi Yanga

Straika wa Azam FC, Kipre Tchetche raia wa Ivory Coast. Omary Mdose, Dar es Salaam HUKU straika wa Azam FC, Kipre...

READ MORE

Drogba, Pirlo Kuwavaa Arsenal Marekani

Andrea Pirlo. WACHEZAJI waliowahi kuwika na timu mbalimbali kwenye ligi kubwa duniani watashuka dimbani kupambana na timu ya soka ya...

READ MORE

Pogba kutua Manchester rasmi

Machester, Uingereza KLABU ya Machester United (Mashatani Wekundu) inayonolewa na kocha Mreno Jose Mourhino imefikia makubaliano ya awali ya kumsajili...

READ MORE

VPL Kuanza Agosti 20, Simba na Yanga kukwaana Okt 1, 2016

WATANI wa jadi, Simba na Yanga watakutana Oktoba 1, 2016 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...

READ MORE

Hafla ya Utoaji Tuzo za Ligi Kuu Vodacom Funika Mbovu

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Mwigulu Nchemba (kushoto) aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji tuzo kwa washindi mbalimbali...

READ MORE

Usajili uliokamilika Ulaya

LONDON, England HIVI sasa kele za usajili zimepamba moto barani Ulaya. Mchuano ni mkali, kila kocha anataka kuimarisha kikosi chake....

READ MORE

Demba Ba avunjika mguu vibaya!

Shanghai, China Mshambulizi wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Demba Ba amevunjika mguu akiwa uwanjani katika mechi ya...

READ MORE

Live Updates: Yanga 1- 1 Madeama

Kikosi cha Madeama.

READ MORE

Yanga Hoi Taifa Yatoka1-1 Dhidi Ya Madeama

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe  akipambana na mchezaji wa Madeama. YANGA  imeshindwa kutamba kwa mara nyingine tena kwenye uwanja wa...

READ MORE

Zeben Hernandez: Azam FC haiwezi kucheza kama Barcelona…

Kocha Mkuu ni Zeben Hernandez akiwa na wacheza wake mazoezini. Makala –  Saleh  Ally Dar es Salaam AZAM FC imeonekana...

READ MORE

Shevchenko ateuliwa kuwa Kocha Mkuu waTimu ya Taifa ya Ukraine

Ukraine imemteua mshambuliaji wa zamani wa AC Milan na Chelsea Andriy Shevchenko kuwa meneja mpya wa timu ya taifa na...

READ MORE

Mavugo sasa anaizingua Simba

Laudit Mavugo. Wilbert Molandi, Dar es Salaam UONGOZI wa Simba umesema kuwa hadi hivi sasa haujui hatima ya ujio wa...

READ MORE

Hainaga Ushemeji Yanga inakulaga Medeama

Kikosi cha timu ya Yanga kikifanya mazoezi. Wilbert Molandi, Dar es Salaam HAINAGA ushemeji, Yanga inakulaga Medeama, ndiyo wimbo utakaoimbwa...

READ MORE

Yanga kuanzisha mastraika watatu

  Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam KIKOSI cha Yanga, kesho kitashuka uwanjani kusaka ushindi wake wa kwanza katika hatua ya...

READ MORE

Medeama watua Dar, kocha aipiga mkwara Yanga

Omary Mdose na Said Ally BAADA ya kikosi cha timu ya Medeama kuwasili nchini kikitokea Ghana, kocha mkuu wa kikosi...

READ MORE

Mbwana Samatta, usiku wa kuamkia leo ameweka historia hii mpya!

STRAIKA wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta ameendelea kuandika historia barani Ulaya baada ya kufunga...

READ MORE

Madeama Watua Dar, Kuwakabili Yanga J’mosi

KIKOSI cha Timu ya Medeama ya Ghana mchana huu kimewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini...

READ MORE

Ronaldo Ajinafasi Ufukweni na Mama Yake

MWANASOKA wa Ureno anayekipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania,  Cristiano Ronaldo,  amekula bata kwenye fukwe za Ibiza zilizopo...

READ MORE

Madrid, Barcelona waizidi Man U kwa Utajiri

Klabu ya Manchester United imeorodheshwa ya tano kwa utajiri duniani na jarida la Forbes, thamani yao ikiwa imepanda kwa asilimia...

READ MORE

Akili za Muro ni za kijinga, zenye akili kuliko TFF ya Malinzi

MAKALA: SALEH ALLY Dar es Salaam: GUMZO kubwa kwa takribani wiki moja iliyopita ni kuhusiana na mzozo kati ya Yanga...

READ MORE

Kikosi bora cha Euro 2016 hiki hapa

Cristiano Ronaldo MSHAMBULIAJI wa Ureno Cristiano Ronaldo, anayechezea Real Madrid ya Hispania, ni miongoni mwa wachezaji walioorodheshwa kwenye kikosi bora...

READ MORE

Pichaz: Ureno walivyoichapa Ufaransa 1-0 Fainali ya Euro 2016

Ederakibebwa na golikipa wake, Eduardo Carvalho baada ya kufunga bao la ushindi. Renato Sanches (kushoto) na Ronaldo wakiwa kwenye pozi...

READ MORE

Michael Yogayoga: Mcheza sarakasi aliyekataa uraia wa Ujerumani

Kijana Mtanzania, Michael Elias Mondosha maarufu kama Michael Yogayoga mzaliwa wa Mpanda mkoani Katavi akifanya yake juu ya meza ndani ya...

READ MORE

Muro aigomea TFF, Awazodoa Simba

Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam SASA ni rasmi kwamba Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro...

READ MORE

Chirwa apiga bao la Van Persie mazoezini Yanga

Straika mpya wa Yanga, Obrey Chirwa raia wa Zambia. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge STRAIKA mpya wa Yanga, Obrey Chirwa...

READ MORE

Pluijm: Aisee Medeama lazima tuwafunge

Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KOCHA wa Yanga, Hans van Der Pluijm ametamba...

READ MORE

Ukichelewa mazoezini Azam unakatwa laki

Wachezaji wa Azam Fc wakifanya yao. Omary Mdose,Dar es Salaam ILI kujenga nidhamu ndani ya kikosi chao, Azam FC imeweka...

READ MORE

Beki mpya Simba: Namjua vizuri Ngoma, Simba Tulieni

Beki wa zamani wa TP Mazembe anayewania nafasi ya kusajiliwa Simba, Besala Janvier Bukungu. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge BEKI...

READ MORE

Yanga wamchangia Manara fedha za matibabu

Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam OFISA Habari wa Simba, Haji Manara, hivi karibuni alipata matatizo ya macho baada ya jicho...

READ MORE

Sakata la Kessy lachukua sura mpya

Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam Lile sakata la beki wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy kuhusu kukwama kwa uhamisho wake...

READ MORE

Chifu wa Masela atinga na nyumba, simu, TV

SHABIKI namba moja wa FC Kauzu, Ally Omary ‘Chifu wa Masela’ amezidi kuwa kivutio katika mashindano ya Sport Extra Ndondo...

READ MORE

Euro: Ufaransa Yaizima Ujerumani, Yatinga Fainali

Ufaransa imetinga katika hatua fainali ya Kombe la Mataifa barani Ulaya kwa mwaka huu baada ya kuifunga Ujerumani 2 –...

READ MORE

Lionel Messi ahukumiwa kwenda jela miezi 21 kwa kukwepa kulipa kodi

 Barcelona, Hispania Mshambuliaji wa Argentina na Barcelona, Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela kutokana na kulipa kukwepa kodi,...

READ MORE

Hassan Kessy akacha mazoezi Yanga SC

Beki mpya wa Yanga, Hassan Kessy. Wilbert Molandi, Dar es Salaam BEKI mpya wa Yanga, Hassan Kessy, jana alikacha mazoezi ya timu...

READ MORE

Alichokisema Mourinho baada ya kutangazwa rasmi Man U

Kocha mpya wa Man United, Jose Mourinho amesema maneno kadhaa mara tu baada ya kukabidhiwa kikosi hicho kwa kutangazwa mbele...

READ MORE

Leicester yamnasa mshambuliaji wa Nigeria

MABINGWA wa Ligi Kuu nchini Uingereza, Leicester City wamefanikiwa kumnasa mshambuliaji wa Nigeria, Ahmed Musa anayekipiga katika klabu ya CSKA...

READ MORE

Oleksandr Zinchenko kinda aliyemkuna kichwa Pep Guardiola

Na Leonard Msigwa Oleksandr Zinchenko kinda wa nchini Ukraine anakuwa mchezaji wa mwisho kusajiliwa na kocha wa Manchester City, Pep...

READ MORE