×

Michezo

Yanga wakwea pipa na kikosi cha maangamizi

Mohammed Mdose,   Dar es Salaam KIKOSI cha Yanga, alfajiri ya leo Jumatatu kimepaa kwenda nchini Angola kwa ajili ya...

READ MORE

Niyonzima: Simba mmetupa Kessy! Mmeumia

Haruna Niyonzima Said Ally, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, ametamka kuwa wataendelea kuwafunga Simba na...

READ MORE

Ngoma, Tambwe wapata dili England

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. HUENDA siku za mastraika Donald Ngoma na Amissi Tambwe zikaanza kuhesabika kwani Derby County FC...

READ MORE

Hans Poppe: Wachezaji fedha mbele hatuwataki Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili...

READ MORE

Yanga kusepa zao kesho kwa dege la Wasauz

Wachezaji wa Yanga wakishangilia. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIKOSI cha Yanga kitaondoka nchini kesho kwenda Angola tayari kwa mechi...

READ MORE

Yanga wagawa basi,sasa ndege tu

Derick Lwasye, Mbeya KLABU ya Yanga imepanga kufanya mabadiliko ya kulitumia basi lao ambalo walipewa na wadhamini wao Kampuni ya...

READ MORE

Ajib aukana mkataba wa Simba SC Sauz

Ibrahim Ajib Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SIKU chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib kuondoka nchini kwenda...

READ MORE

Mcameroon: Simba njooni, sina tatizo

Yussouf Sabo Na Omary Mdose, Dar es Salaam KIUNGO wa Coastal Union ya Tanga, Yussouf Sabo, raia wa Cameroon, ametamka...

READ MORE

Newcastle, Norwich zashushwa daraja EPL

Wachezaji wa Norwich  wakiwa hoi baada ya kushushwa daraja kutoka EPL. Wachezaji wa Newcastle. Klabu ya Norwich City imeshushwa daraja...

READ MORE

Alfred Lucas Ndiye Ofisa Habari Mpya TFF

Afisa Habari na Mawasiliano mpya wa TFF, Alfred Lucas kuwa . Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Alfred Lucas...

READ MORE

Kessy: Nataka jezi no 25 Yanga SC

Beki wa kulia wa Simba, Hassan Kessy. Wilbert Molandi, Dar es Salaam BEKI wa kulia wa Simba, Hassan Kessy ameweka...

READ MORE

MwanaFA: Man U kucheza Uefa ni ndoto

Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’. Nicodemus Jonas Mkali wa wimbo wa Asanteni kwa Kuja, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ ametamka kuwa ni ngumu kuona...

READ MORE

Maua Sama afichua la moyoni

Msanii wa muziki wa Sweet Reggae, Maua Sama. Na Mohammed Mdose MSANII wa muziki wa Sweet Reggae, Maua Sama amefunguka...

READ MORE

Taifa Stars kujipima na Harambee Stars

Wachezaji wa timu  ya Tanzania, Taifa Stars. Na Wilbert Molandi TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepanga kucheza mchezo...

READ MORE

Tambwe: Nimefunga bao halali, nyie Simba vipi

Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge AMISSI Tambwe amesema amefunga bao halali dhidi ya Coastal Union na anawashangaa...

READ MORE

Nimubona: Kessy hanizidi kiwango, bahati tu

Ramadhan Kessy. Na Nicodemus Jonas ANACHOONGAA! Baada ya kuhakikishiwa kucheza mechi zote kuziba pengo la Ramadhan Kessy, beki wa kulia...

READ MORE

Azam noma, yatinga fainali FA

Wachezaji wa  azam wakishangilia Johnson James, Shinyanga Azam FC jana wametinga fainali ya Kombe la FA baada ya kuichapa Mwadui...

READ MORE

Yanga wabishi

YANGA wamekomaa kibishi jana Jumapili na kufanikiwa kuichapa Coastal Union katika Kombe la FA lakini mechi hiyo ikavunjwa na vurugu....

READ MORE

Mayanja: Hans Poppe, Aveva msiniharibie timu

KOCHA wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja Said Ally na Mohammed Mdose KOCHA wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja, ameutaka uongozi wa...

READ MORE

Manchester United watinga fainali FA

Louis van Gaal na Martial wakifurahi baada ya ushindi kwenye kombe la  FA uwanja wa Wembley Wayne Rooney akishangilia baada...

READ MORE

Okwi ataka Sh Mil 215 Simba

Straika wake Emmanuel Okwi kutoka Sonderjyske ya Denmark. Sweetbert Lukonge SIMBA imepanga kumrudisha straika wake Emmanuel Okwi kutoka Sonderjyske ya...

READ MORE

Ugomvi wa Kessy wahamia Yanga SC, Azam FC

Hassan Kessy. Wilbert Molandi,Dar es Salaam SIKU chache baada ya Hassan Kessy kusimamishwa na uongozi wa Simba, meneja wa nyota...

READ MORE

Msikonde! Yanga inasonga

Wachezaji wa timu ya Yanga SC wakishangilia kwa pamoja. Wibert Molandi YANGA imekubali kiroho safi kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Pichaz: Azam Warejea Nyumbani Wakitokea Dubai

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

READ MORE

Pichaz: Yanga Watua Kutoka Misri

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

READ MORE

Niyonzima afanyiwa umafia na Al Ahly

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima. Wilbert Molandi, Dar es Salaam YANGA imetolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika lakini kocha wa...

READ MORE

Ngoma abeba rekodi bab’kubwa Misri

Wachezaji wa Yanga wakishangilia na straika, Donald Ngoma (wa kwanza kushoto). Abdallah Zalala, Pwani na Nicodemus Jonas LICHA ya Yanga...

READ MORE

Angban: Sikumpiga Kessy, nilimkunja tu!

Beki wa timu yake, Hassan Kessy. Omary Mdose na Said Ally KIPA wa Simba, Vincent Angban, raia wa Ivory Coast,...

READ MORE

Mkude: Tusipopanda ndege, nasepa Simba

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam HEH yamekuwa hayo! Kwani kiungo wa Simba, Jonas Mkude, amesema...

READ MORE

Barcelona Hapumui, Atumbuliwa Tena La-Liga!

Goli la kwanza la Valencia baada ya krosi ya Siqueira na Rakitic kumfungisha kipa wake Uwanja wa Nou Camp jana...

READ MORE

Yanga yaenda Misri kuwavaa Al-ahly

Yanga wakiwa Uwanja wa ndege leo kujiandaa na safari yao ya Misri kuwavaa waarabu wabishi wa el Alhy. mchezo wa...

READ MORE

Mabeki wakiri Ngoma ni balaa

  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kulia) akimtoka beko. MARA nyingi Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amekuwa akilalamika kuwa...

READ MORE

Kocha Julio bhana, hiyo haiwezekani kabisa

Kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. JUMATANO wiki hii beki wa Mwadui FC, Iddy Mobby alionyeshwa kadi nyekundu katika mchezo...

READ MORE

Mayanja: Yanga sawa ila Yondani noma sana

Beki wa Yanga Kelvin Yondani. MAPEMA wiki ijayo Yanga itarudiana na Al Ahly nchini Misri katika mechi ya 16 Bora...

READ MORE

Nusu Fainali ya Uefa Europa League

Droo ya Nusu Fainali ya Uefa Europa League imefanyika na tayari timu nne zilizoingia katika hatua hiyo zimepangwa jinsi zitakavyokutana....

READ MORE

UEFA Champions League Nusu Fainali Kila Kitu Hapa

Ratiba ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepanga na inavyoonekana shughuli itakuwa pevu. Matajiri wa Jiji la Manchester,...

READ MORE

Simba: Tutafia uwanjani kudaadeki!

Jackson Mayanja ‘Mia Mia’ Nicodemus Jonas na Wilbert Molandi KUONDOLEWA kwenye michuano ya Kombe la FA pamoja na ushindi wa...

READ MORE

Simba yanaswa ikijiwinda dhidi ya Toto leo

Walianza hivi. Kocha Mayanja akionesha kwa mifano jinsi anavyotaka. Ibrahim Ajib ‘Kadabra’ akijaribu kufuata maelekezo ya kocha. Said Ndemla (kulia),...

READ MORE

Drogba Kuishtaki Daily Mail

Mwanasoka maarufu duniani, Didier Drogba pamoja na Princess Beatrice wakiwa pamoja siku ya uzinduzi wa Taasisi ya Didier Drogba mwaka...

READ MORE

Atletico Madrid Yaivua Ubingwa wa UEFA Barcelona

Antoine Griezmann wa Atletico akifunga goli la kwanza Mpira uliopigwa na Antoine Griezmann kwa kichwa ukiingia nyavuni. Antoine Griezmann akishangilia...

READ MORE