×

Michezo

Robertinho: Tulieni, Onana Atafunga Sana, Achimba Mkwara Mzito

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa, anajivunia viwango bora ambavyo vinaendelea kuoneshwa na mastaa wapya...

READ MORE

Waarabu Wampa Simon Msuva Bil 1.5 Kukiwasha CR Belouizdad Algeria

IMEELEZWA kwamba, timu ya CR Belouizdad kutoka Algeria, imemtengea winga Mtanzania, Simon Msuva ofa ya zaidi ya shilingi bilioni 1.5...

READ MORE

Greenwood Ndio Basi Tena, Anaondoka United

HATIMAYE fowadi wa Manchester United, Mason Greenwood ataondoka katika klabu hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya uchunguzi...

READ MORE

Mbio Za Hisani Za St Mary Goreti Kufanyika Jumamosi

Hatimaye mbio za hisani za Shule ya Sekondari ya St Mary Goreti ya Mjini Moshi zimewadia huku zikitarajiwa kufanyika Jumamosi...

READ MORE

Baba Yake na Msuva Aitaja Timu Anayoelekea Mtoto Wake Algeria

  RASMI sasa kiungo Simon Msuva anakwenda kukipiga klabu ya CR Belouizdad ambao ni Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Robertinho Aanza Nyodo Simba Atoa Kauli ya Kibabe Ligi Kuu

NI kama ameanza tambo Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, baada ya kusema kwa sasa anataka kuona wachezaji...

READ MORE

Gamondi Aiandalia Mkakati Mpya KMC Leo Uwanja wa Azam Complex

LEO Jumatano Agosti 23, 2023  Yanga ikitarajiwa kuvaana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu...

READ MORE

Mosses Phiri Atuma Salamu Yanga Awaambia Amejipanga Kufunga Mabao

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Mosses Phiri, ametangaza hali ya hatari kwa mabeki wa timu za Ligi Kuu Bara zikiwemo Yanga...

READ MORE

Kocha wa Yanga Muargentina Alirejesha Kundini Jembe La Nabi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amesema anafurahia aina ya uchezaji wa beki wa kati wa timu hiyo, Dickson...

READ MORE

Kocha Wa Man City Kukosa Mechi Mbili Baada Ya Kufanyiwa Upasuaji Wa Mgongo

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola anatazamiwa kukosa mechi mbili zijazo za timu yake baada ya kufanyiwa upasuaji wa mgongo....

READ MORE

Kramo Azua Gumzo Simba Baada ya Kushindwa Kucheza Tangu Asajiliwe

WINGA wa Simba, Aubin Kramo amezua gumzo kubwa mara baada ya kushindwa kucheza ndani ya kikosi hicho tangu asajiliwe katika...

READ MORE

Hafidh Konkoni Ashusha Presha ya Mabao Yanga, Azungumza na Championi

MSHAMBULIAJI wa Yanga raia wa Ghana, Hafidh Konkoni amewaondoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo, kwa kutamka sasa hivi yupo fiti...

READ MORE

Moses Phiri Aamua Kuvunja Ukimya Simba Kurejea Kikosi cha Kwanza

MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri amesema kuwa licha ya changamoto ya nafasi ya kucheza anayoipata katika timu hiyo lakini bado...

READ MORE

NMB Yadhamini CDF Trophy 2023 Kwa Mil. 30/= 

BENKI ya NMB, imetangaza udhamini wa Sh. Milioni 30 wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF...

READ MORE

Majembe Ya Simba Wameanza kwa Majanga Msimu wa 2023/24

MASTAA watatu wa Simba, wameanza kwa majanga msimu wa 2023/24 kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Miongoni mwao...

READ MORE

Simba Yakomalia Dili La Kiungo Mtogo Kumalizana na Moses Phiri

HUENDA muda wowote kuanzia leo, Simba inaweza kumalizana na straika wao raia wa Zambia, Moses Phiri ili kumpisha kiungo mkata...

READ MORE

Yanga Yaanza Vizuri, Yaichapa Asas Djibouti 2-0 Klabu Bingwa Afrika – Video

Klabu ya Yanga imepata ushindi wa goli 2 – 0 dhidi ya Klabu ya Asas Djibouti kwenye mchezo wa hatua...

READ MORE

Mastaa Yanga Wamepania, Waitaka Rekodi CAF leo Uwanja wa Azam Complex

WACHEZAJI wa Yanga wamesema kwa sasa nguvu na akili zao wamezielekeza katika mchezo wa hatua wa awali wa Ligi ya...

READ MORE

Meneja Mkongwe katika soka Carlo Mazzone Amefariki Dunia

Meneja mkongwe katika soka la Italia Carlo Mazzone (86), amefariki dunia. Mazonne aliwahi kuzichezea Roma, Latina, SPAL, Siena na Ascoli...

READ MORE

Bernard Morrison Kuishtaki Yanga FIFA, Mtoa Taarifa Afunguka

  TAARIFA ambazo Championi Ijumaa zimepata ni kuhusiana na kiungo raia wa Ghana ambaye amepita Yanga na Simba, Bernard Morrison...

READ MORE

Mabosi Yanga Wabadili Gia, Wamrudia Mkongomani, Makabi Lilepo

MABOSI wa Yanga, wameiangalia safu yao ya ushambuliaji katika michezo ya Ngao ya Jamii, fasta wakachukua uamuzi wa kumrudia mshambuliaji...

READ MORE

Mchongo Wa Yanga CAF Huu Hapa Yaweka Wazi Mipango yao Mikubwa

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, mipango yao mikubwa msimu huu katika michuano ya kimatafa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka...

READ MORE

Kane: Nimefuata Makombe Bayern Afunguka Katika Mahojiano Maalum

MSHAMBULIAJI mpya wa Bayern Munich, Harry Kane amesema amejiunga na klabu hiyo kwa sababu anaona kuna ukaribu wa kushinda makombe...

READ MORE

Yassine Bounou Ajiunga na miamba ya Saudi Arabia Akitoka Sevilla ya Uhispania

Mmoja wa mashujaa wa Afrika kwenye kombe la Dunia 2022, Mmoroco Yassine Bounou almaarufu Bono amejiunga na miamba ya Saudi...

READ MORE

Straika La Caf Laipa Ubingwa Yanga Baada ya kupoteza Ngao ya Jamii

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa licha ya Yanga kupoteza kwa kushindwa kubeba Ngao ya Jamii...

READ MORE

Chuma Hiki Kinakuja Simba Kutoka Klabu ya ASKO Kara ya Togo

SIMBA bado iko sokoni na sasa imepanga kumshusha kiungo mkabaji, Efoe Novon raia wa Togo huku wakipanga kumtoa kwa mkopo...

READ MORE

Bosi Wa Waamuzi Avunja Ukimya Utata wa Mikwaju iliyopigwa na wachezaji wa Yanga

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza muda mfupi baada ya kumalizika...

READ MORE

Fabrice Ngoma Amtibulia Kanoute Simba Robertinho Afunguka

BENCHI la Ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ linafikiria kumuondoa kikosi cha kwanza kiungo mkabaji...

READ MORE

Hafiz Konkoni Amnogea Gamondi, Amuingiza Kikosi cha kwanza

KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, anafikiria kumuanzisha mshambuliaji wake, Mghana, Hafiz Konkoni katika kikosi cha kwanza. Uamuzi huo...

READ MORE

Kazi Imeanza Huko… Vigogo Simba Waanika Mikakati Mizito

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Iman Kajula, ameibuka na kubainisha kwamba, wamekuja na mpango mkakati maalum msimu huu wa 2023/24 utakaowawezesha...

READ MORE

Mshambuliaji Neymar Jr Ajiunga na Miamba ya Saudi Arabia, Al Hilal

Mshambuliaji, Neymar Jr amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na miamba ya Saudi Arabia, Al Hilal kwa ada ya uhamisho ya...

READ MORE

Salim Ataja Uchawi Wa Kuokoa Penalti Za Yanga

  MLINDA mlango wa Simba, Ally Salim, amefunguka kuwa siri kubwa ya kuokoa penalti tatu kati ya nne zilizopigwa na...

READ MORE

Kivumbi leo Mkwakwani Fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba

KUELEKEA mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Bil 3 Zashusha Kipa Mpya Simba Raia wa Morocco

KLABU ya Simba, imefanikiwa kumsajili kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, akitokea FAR Rabat ambapo anaenda kuungana na Ally Salim,...

READ MORE

Wakali Wa Pasi Ndefu Yanga, Simba Kwenye Vita Nyingine

WAKALI wa pasi ndefu ndani ya Yanga na Simba, leo wanatarajiwa kuwa kwenye vita nyingine ya kumsaka mbabe atakayetoka na...

READ MORE

Simba Wawapiga Mkwara Al Ahly, Mamelodi Afrika Super League

MABOSI wa Simba, wameweka wazi mkakati wao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ya Afrika Super League, bila ya kuangalia...

READ MORE

Aziz Ki Afunguka Alivyotumwa Kuwamaliza Azam Uwanja wa Mkwakwani, Tanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephen Aziz Ki amefunguka kuwa sababu kubwa ya kufanikiwa kufunga bao katika mchezo wa juzi Jumatano...

READ MORE

Kocha Yanga Awachambua Simba Atamba Kuwa Hawezi Kuwapa Presha

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina ni kama amempotezea kocha wa wapinzani wake wa kubwa  wa Ligi Kuu...

READ MORE

Yanga Yatoa Ufafanuzi juu ya Jeraha Alilopata Mahlatse Makudubela ‘Skudu’

Klabu ya Yanga imetoa ufafanuzi juu ya kiwango cha jeraha alilopata winga wake Mahlatse Makudubela ‘Skudu‘ aliyeumia mnamo dakika ya...

READ MORE

Simba Yafungukia Sakata La Phiri, Robertinho

KUFUATIA kuwepo uvumi kutoka kwa wadau wa mpira juu ya sakata la Moses Phiri kudaiwa kutokuwa na maelewano mazuri na...

READ MORE