×

Michezo

Winga Wa Mabao Kimeeleweka Yanga… Kitita cha Sh125Mil Kutolewa

YANGA italazimika kutoa kitita cha Sh 125Mil kwa ajili ya kukamilisha dili la usajili la kiungo mshambuliaji, Nickson Kibabage anayekipiga...

READ MORE

Nmb Yawa benki Ya Kwanza Nchini Kusajili Wanachama wa Yanga

Kwa kutambua umuhimu wa sekta ya michezo nchini, leo @nmbtanzania imeingia makubaliano na timu ya @yangasc na kuwa Benki ya...

READ MORE

Beki La Kazi Lakubali Yaishe Yanga Ahusishwa Kutakiwa Azam FC

  BEKI wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amekubali kubaki kuendelea kukipiga katika klabu hiyo hadi msimu ujao. Hiyo ikiwa...

READ MORE

Mo Dewji Aingilia Usajili Wa Rasta Wa Cameroon, Simba Yatoa Kauli ya Kibabe

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawatoshindwa kumsajili mchezaji yeyote watakayemtaka kulingana na thamani yake kutokana uwepo wa mwekezaji na...

READ MORE

Kigogo Yanga Afichua Siri ya Mayele Kubaki… Atamba Kushusha Vifaa vya Maana

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi mpango wake wa kushusha vifaa vya maana kwa ajili ya kuhakikisha msimu ujao timu inaendelea...

READ MORE

Beki Kitasa Azuiliwa Simba Kuendelea kubaki Msimu Ujao

SIMBA imetangaza kuwa beki wao Mkenya, Jonas Onyango, bado mali ya timu hiyo, na ataendelea kuwa mchezaji wao kwa msimu...

READ MORE

Ally Kamwe Afunguka Usajili Yanga, Uzinduzi Wa Jezi, Namba 6 Mpya – Video

Kuelekea uzinduzi wa jezi za Klabu ya Yanga, afisa habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe ametoa ufafanuzi wa namna viongozi...

READ MORE

Bosi Simba Achimba Mkwara Mzito “Jezi Mpya Kuvunja Rekodi ya Mauzo”

MARA baada ya jana Jumatano kutangaza rasmi kuwa tayari mzigo wa jezi zao mpya kwa msimu wa 2023/24 umefika, uongozi...

READ MORE

Kaizer Chiefs Yamtangaza Kocha Molefi Ntseki, Nabi Apigwa Chini

Klabu ya soka ya Kaizer Chiefs ya nchini Afrika Kusini hapo jana imemtangaza rasmi Molefi Ntseki kuwa ndiye kocha wao...

READ MORE

Namba 6 Anayotambanayo Ali Kamwe Chuma Hiki Hapa

YANGA ipo katika hatua nzuri za kukamilisha dili la usajili wa kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kuanzisha mashambulizi, Mohamed Zoungrana...

READ MORE

NBC Dodoma Marathon 2023: A Paramount Of Corporate Philanthropy

Marathoners have a special way of teaching us about endurance and defying limits. Eliud Kipchoge’s world record redefined human boundaries,...

READ MORE

Muuaji Yanga Apewa Miaka Miwili Simba Try Again Afunguka

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis, ataendelea kuichezea timu hiyo, mara baada ya kufikia muafaka wa kuongeza mkataba wa miaka...

READ MORE

Kocha Miguel Angel Gamondi Apangua Kambi Yanga

UNAAMBIWA baada ya uongozi wa Yanga kumpa taarifa kocha mkuu mpya wa timu hiyo raia wa Argentina, Miguel Angel Gamondi,...

READ MORE

Beki Kisiki Daniel Amoah Asaini Mkataba Mpya Azam FC

BEKI kisiki wa Azam FC, Daniel Amoah, amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja zaidi kuendelea kusalia kwenye viunga...

READ MORE

Kocha Yanga Aanza Na Nyundo 5 Akabidhiwa Ripoti ya Maboresho ya Kikosi

MARA baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina amekabidhiwa rasmi ripoti ya...

READ MORE

Kiungo Fundi Wa Pasi Apewa Miaka 2 Yanga, Mtoa Taarifa Afunguka

MUDA wowote Yanga watatangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake mchezeshaji, Salum Aboubakari ‘Sure Boy’. Kiungo huyo alijiunga na...

READ MORE

Simba Imepania… Yamuwekea Mkwanja Mzito Rasta Mcameroon

KLABU ya Simba imerudi tena ndani ya klabu ya Cotton Sports FC ya nchini Cameroon kwa ajili ya kuipata saini...

READ MORE

Mkurugenzi wa Aba Sports Club “Ninawaandalia Aba Academy Vijana Taifa leo”

Aba  Academy ni Watoto kuanzia umri wa miaka 3 mpaka 17 lengo kuu kukuza na kuendeleza Vipaji vya Watoto waliopo...

READ MORE

Jezi Mpya za Manchester United Yavuja katika Tamasha la Glastonbury

Wakati Manchester United wakitarajia kuzindua jezi zake kwa ajili ya msimu ujao wiki ijayo siku ya Jumanne lakini tayari jezi...

READ MORE

Bosi Afunguka Usajili Wa Morrison Azam Baada ya Kuachwa na Yanga

KUFUATIA kuwepo kwa tetesi kuwa Azam wapo kwenye mazungumzo na aliyekuwa kiungo wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, uongozi...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Atoa Kauli Nzito Kwa Mashabiki, Timu Alizofundisha Zipo Hapa

YANGA SC, imematangaza Miguel Ángel Gamondi, kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua mikoba ya Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye waliachana...

READ MORE

Simba Washtukia Ishu Ya Chama, Wamuita Fasta Kumuongezea Mkataba

MUDA wowote kuanzia leo, Simba itaanza mazugumzo rasmi ya kumuongezea mkataba mwingine wa miaka miwili, kiungo wake mshambuliaji Mzambia, Clatous...

READ MORE

Straika Romelu Lukaku Agomea Mamilioni Ya Waarabu

STRAIKA Romelu Lukaku amegomea kujiunga na klabu za Saudi Arabia ambazo zimekuwa zikimwaga fedha nyingi kwa ajil ya kuzinasa saini...

READ MORE

Baada Ya Kuachwa… Mkude Atoa Tamko Zito Simba, Amtaja MO Dewji

MARA baada ya kutangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya Simba kwa msimu ujao, aliyekuwa kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude amefunguka...

READ MORE

Kiungo Fundi Kupewa Jezi Ya Fei Toto Yanga

MASHABIKI wa Yanga walishamsahau kiungo wao Feisal Salum ‘Fei Toto’ na sasa wajiandae kumuona mbadala wake mpya katika timu hiyo,...

READ MORE

Wanne wakamatwa China kwa Kuhusika na tukio la Mlipuko

POLISI wa China wamekamata watu wanne waliohusishwa na mlipuko katika mgahawa ambao uliua watu kadhaa, vyombo vya habari vya serikali...

READ MORE

CAF Super League Kutimua vumbi Mwezi Oktoba Mwaka Huu

Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe amethibitisha kuwa michuano ya African Super League itaanza kutimua vumbi...

READ MORE

FAR Rabat Bingwa Ligu Kuu Ya Morocco Yaivua Wydad Casablanca

Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imevuliwa ubingwa wa ligi Kuu Morocco na FAR Rabat ambao ndio Mabingwa wapya wa...

READ MORE

Erasto Nyoni Kukipiga Namungo Msimu Ujao

Baada ya Wekundu wa Msimbazi Simba kumpa mkono wa kwaheri mchezaji wao Erasto Nyoni hapo jana, Mapema hii leo Nyoni...

READ MORE

Mayele Aibuka, Atoa Kauli Kwa Wanayanga Awashukuru Viongozi, Wachezaji

AKIREJEA nchini akitokea kwao DR Congo, mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani Fiston Mayele ameibuka na kutamka kuwa tuzo tano alizozishinda msimu...

READ MORE

Kifaa Cha Kwanza Rasmi Yanga Utambulisho Wake Waandaliwa Maalum

IMEBAINIKA kuwa, kuna chuma kipya Yanga kipo mjini tayari na huenda kikatambulishwa kupitia mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika...

READ MORE

Robertinho Avujisha Usajili Simba Azungumza na Spoti Xtra

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema jumla ya wachezaji watatu tayari usajili wao umekamilika na kilichobaki ni...

READ MORE

Kata 21 Buchosa kushiriki Shigongo Jimbo Cup

Yale mashindano pendwa ya soka Kwa wananchi wa Jimbo la Buchosa chini ya uongozi wa Mbunge Eric Shigongo tayari mipira...

READ MORE

Mapya Yaibuka Usajili Wa Adebayor Simba Bosi Aongea na Championi

SIMBA imekutana na ugumu wa kumpata kiungo mshambuliaji wa Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco ambayo imegoma kumuachia. Adebayor...

READ MORE

Jose Mourinho Afungiwa Mechi 4 za UEFA Baada ya Kumyanyasa Muamuzi

MENJA wa Roma, Jose Mourinho ambaye ni Meneja wa zamani wa Chelsea, Manchester United na Tottenham amefungiwa kwenye mechi 4...

READ MORE

Yanga Yatangaza Kuachana na Winga Bernard Morrison

Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na winga Bernard Morrison ikiwa ni msimu mmoja tu baada ya kurejea klabuni hapo msimu...

READ MORE

Umafia Wafanyika Dar… Adebayor Asaini Miaka Miwili Simba

HUU ndiyo umafia hii ni baada ya mabosi wa Simba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu hiyo,...

READ MORE

Imevuja… Anayemuondoa Lomalisa Yanga Atajwa, Ali Kamwe Afunguka

ZIMEVUJA! Ndiyo utakavyoweza kusema ni baada ya sababu kujulikana za beki wa kushoto wa Yanga, Mkongomani Joyce Lomalisa Mutambala kuomba...

READ MORE

Yanga Yatangaza Kuachana na Winga Dickson Ambundo

Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na winga Dickson Ambundo (27) raia wa Tanzania hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi...

READ MORE

Geita Gold Yathibitisha Kuachana na Kocha Fred Felix Yesaya Minziro

Klabu ya Geita Gold imethibitisha kuachana na Kocha mkuu Fred Felix Yesaya Minziro baada ya mkataba wake klabuni hapo kufikia...

READ MORE