×

Michezo

Wikiendi Yenye Odds Kubwa ndio hii Unaweza kuwa Mshindi wa Tsh Milioni 85 za Jakipoti

Wikiendi ya kishua na Meridianbet imeanza tangu Ijumaa na itaenda mpaka Jumapili, kwa Odds kubwa mechi zote unazipata ikumbukwe Liverpool...

READ MORE

Mshambuliaji wa Simba Jean Baleke Hakamatiki, Amkalisha Musonda wa Yanga

USAJILI wa Simba kwa mshambuliaji Mkongomani, Jean Baleke umeonekana kuwa bora zaidi ya straika wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda. Hiyo...

READ MORE

Yanga Yasogezewa Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika

LICHA ya kikosi cha Yanga kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini...

READ MORE

CAF Yamzuia Kiungo Wa Mabao Ya Faulo Kutua Yanga

                                                                                                         Bruno Gomes MMILIKI wa Singida Big Stars, amesitisha mipango ya kumuachia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mbrazili, Bruno Gomes...

READ MORE

Winga wa TP Mazembe Kinzumbi Aiwahi Kambi Yanga

WINGA wa TP Mazembe ya DR Congo, Phillipe Kinzumbi, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kutua nchini tayari kwa kuingia kambini...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Aionya Arsenal EPL… Atamba Kuibuka na Ushindi Jumapili Hii

JURGEN Klopp, amesisitiza kuwa, wana nafasi kubwa ya kuwapiga vinara wa Premier League, Arsenal, wikiendi hii. Jumapili ya wikiendi hii,...

READ MORE

Senzo Mbatha Aiona Yanga Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

MTENDAJI Mkuu wa zamani wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingiza, amesema anaiona Yanga ikitinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika...

READ MORE

Winga wa TP Mazembe Kinzumbi Atibua Usajili Yanga

MABOSI wa Yanga, wamefuta mipango ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Craenes’ na Klabu ya...

READ MORE

Mgunda Akabidhiwa Shoo Ya Nasreddine Nabi Kocha wa Yanga

MABOSI wa Simba wameshtukia jambo zito baada tu ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa...

READ MORE

Winga wa TP Mazembe Kinzumbi Ataja Sababu 3 Za Kusaini Yanga

WINGA msumbufu wa TP Mazembe, Phillipe Kinzumbi ameweka wazi kuwa ameamua kukubali kumwaga wino Yanga kutokana na mambo matatu makubwa...

READ MORE

Meridianbet Wapigwa Tsh 54m na Mwarabu Kupitia Kasino ya Mtandaoni

Sub-Heading: Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na...

READ MORE

Aziz Ki Aandaliwa Kuimaliza Geita Gold Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho

BAADA ya kuukosa mchezo wa jana Jumapili dhidi ya TP Mazembe kutokana na changamoto za usafiri, imefichuka kuwa kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Simba Kuangukia Kwa Vigogo Hawa Ligi ya Mabingwa Afrika

KESHOKUTWA Jumatano Simba iatafahamu ni nani ambaye watakutana naye kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakati ambao droo...

READ MORE

Mayele, Aziz Ki Waongeza Mzuka Yanga leo Jumapili dhidi ya TP Mazembe

KUELEKEA mchezo wao wa leo Jumapili dhidi ya TP Mazembe unaotarajiwa kupigwa nchini DR Congo, uongozi wa Yanga umetamba kuwa...

READ MORE

Mastaa Yanga Wala Kiapo dhidi ya TP Mazembe, Watoa Neno kwa GSM

KUFUATIA Bosi wa Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM) kusafiri na Yanga kwenda DR Congo kuishuhudia timu yake ikicheza dhidi ya...

READ MORE

Simba Yawavimbia Raja Casablanca Morocco Ligi ya Mabingwa Afrika

KUTOKANA na hali ya hewa kuwa rafiki nchini Morocco, uongozi wa Simba umeahidi kutoruhusu tena kufungwa na Raja Casablanca katika...

READ MORE

Meridianbet Yahamia kwa Kina Mama Wanaojishughulisha na Mama Ntilie

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii...

READ MORE

Musonda Awapa Mchecheto TP Mazembe Kombe la Shirikisho Afrika

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda, amemaliza majukumu yake ya timu ya taifa, na sasa nguvu na akili zake anazielekeza...

READ MORE

Mbrazil Roberto Oliviera ‘Robertinho’ Apitisha Panga Kimya Kimya Simba

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amepanga kuwapa nafasi wachezaji wote kwa lengo la kuangalia uwezo wa kila...

READ MORE

Jeshi la Nabi Kamili, Laanza Mikakati ya Kuwazima Mazembe Lubumbashi DR Congo

JESHI la Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi juzi liliingia kambini tayari kwa mchezo wa mwisho wa makundi wa...

READ MORE

Stars Yapewa Matumaini ya Kufuzu Kibabe Afcon… Kushinda Dhidi ya Algeria na Niger

IKICHEZA mbele ya mashabiki kibao Dimba la Mkapa jijini Dar, jana Machi 28, 2023 Taifa Stars ilishindwa kuwapa furaha baada...

READ MORE

Taifa Stars: Tupo Tayari Kuimaliza Uganda leo Saa 2:00 Usiku Uwanja wa Mkapa

KOCHA Msaidizi wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemmed Morocco, amesema watafanya kazi kubwa kwa ajili ya kupata...

READ MORE

Mo Dewji Apasua Jipu; Kuna Watu Ndani Ya Simba Wananikwamisha”Kwenye Usajili Tumepigwa” -Video

 Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji ‘Mo’ amesema kuna watu ndani ya klabu hiyo...

READ MORE

Jesus Moloko Akinukisha Kambini Yanga Atoa Tamko Dhidi TP Mazembe

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Jesus Moloko, amesema kuwa bado hawajamaliza, kwani wanazihitaji pointi za wapinzani wao, TP Mazembe katika...

READ MORE

Mmesikia… Bernard Morrison Kamili Gado, Kuwamaliza Simba

RIPOTI kutoka kwenye kambi ya Yanga zinasema kuwa kiungo wa pembeni wa klabu hiyo, Bernard Morrison ameshapona kwa asilimia 80...

READ MORE

Forest Rock Sloti ya kijanja Ushindi Mara 20 ya Dau Lako

Sloti ya Forest Rock           Kasino ya mtandaoni inakurudisha nyuma kwenye zama za kale, zama zile ambazo tulikua tunakaa...

READ MORE

Mayele Afunguka Kuhusu Kucheza Timu ya Taifa ya DR Congo “Ni Tukio Kubwa”

MARA baada ya kufanikiwa kupata nafasi ya kucheza dakika tatu za mwisho katika kikosi cha Timu ya Taifa ya DR...

READ MORE

Mandonga Ashinda Mkanda wa Ubingwa wa PST Amchapa Lukyamuzi kutoka Uganda

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Karim Mandonga amefanikiwa kushinda mkanda wa Ubingwa wa PST kufuatia mkuchapa kwa pointi Kenneth...

READ MORE

Mayele Awachimba Biti Zito TP Mazembe Kombe la Shirikisho Afrika

MSHAMBULIAJI namba moja kwenye ligi akiwa na mabao 15 huku kwenye Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi akiwa na...

READ MORE

Bondia Karim Mandonga Apima Uzito, Kupanda Ulingoni leo dhidi ya Lukyamuzi

BONDIA Karim Mandonga jana alifanikiwa kupima uzito tayari kwa pambano lake dhidi ya Kenneth Lukyamuzi, ambalo linatarajia kupigwa leo Jumamosi...

READ MORE

Taifa Stars Yaichapa Uganda Ugenini Yasogea Nafasi ya Pili kwenye Kundi

Timu ya taifa ya Tanzania imeibuka na ushindi wa bao 1-0, ugenini mbele ya Uganda katika mechi ya kuwania kufuzu...

READ MORE

Taifa Stars Imeandaliwa Vilivyo, Mtihani Ni Leo dhidi ya Uganda

TANGU siku ya kwanza ya kambi ya timu taifa hapa jijini Ismailia nchini Misri nimekuwa hapa nikishuhudia. Timu ya taifa...

READ MORE

Fei Toto Apewa Program Maalum Misri Dhidi ya Uganda

KIUNGO wa Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amepewa mazoezi maalumu kwa ajili ya kumuongezea...

READ MORE

Simba Watamba Kuweka Rekodi Nyingine CAF Kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, unahitaji kuweka rekodi nyingine kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutinga hatua ya...

READ MORE

Kazi Imeanza… Simba Yachomoa Viungo Wawili Yanga

SIMBA imeanza mazungumzo na viungo wa zamani wa Yanga, Mkongomani, Mukoko Tonombe anayekipiga TP Mazembe ya DR Congo na Mburkinabe...

READ MORE

Kocha wa Yanga Awajaza Upepo Mayele, Musonda Kombe la Shirikisho Afrika

LICHA ya kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amesema...

READ MORE

Pigo Simba…. Mastaa Wawili Wawakosa Raja Casablanca Ugenini Morocco

WACHEZAJI tegemeo ndani ya kikosi cha Simba, Kibu Denis na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ wanatarajiwa kuukosa mchezo dhidi ya Raja Casablanca....

READ MORE

Simba Wasaini Mkataba wa Milioni 500 na Kampuni ya Masoko Kwa Timu ya Vijana

Klabu ya Simba imeingia Mkataba wa Miaka miwili na Kampuni ya Masoko MobiAd Afrika ambayo inawaweka karibu wafanyabiashara kwa ajili...

READ MORE

Fei Toto Aahidi Ushindi Stars Dhidi ya Uganda Kufuzu AFCON

KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kutua nchini Misri, amefunguka kwa mara ya...

READ MORE

Bondia Mtanzania Stumai Muki Amchapa Chimwemwe Banda wa Malawi Dar

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Stumai Muki amefanikiwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake kutoka Malawi, Chimwemwe Banda katika pambano...

READ MORE