×

Michezo

Ally Kamwe: Yanga Hii Ina Ubavu wa Kushindana na Vigogo wa Soka Afrika -Video

Afisa habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe leo  Septemba 30, 2022 ameongea na wanahabari  katika hotel ya Serena jijini...

READ MORE

Yanga Princess Yaingia Mkataba na Kampuni ya Watercom Yenye Kinywaji cha Jembe Energy

TIMU ya wasichana ya Yanga Yanga Princess imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya Watercom yenye kinywaji cha Jembe...

READ MORE

Siri Imefichuka Usajili wa Kimyakimya wa Nkunku Ndani ya Stamford Bridge

TAARIFA zimeibuka juu ya usajili wa kimya kimya wa mshambuliaji wa klabu ya RB Leipzig ya nchini Ujerumani raia wa...

READ MORE

GGML Wazindua Mashindano ya Soka kwa Watoto Wanaozunguka Mgodi Huo

NA MWANDISHI WETU, GEITA KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imezindua mashindano ya mpira wa miguu kwa watoto...

READ MORE

Bondia wa Uzito wa Juu wa Uingereza Tyson Fury Ataka Trillion 1 ili Apigane

Bondia wa uzito wa juu wa Uingereza Tyson Fury anayeshikilia mkanda wa WBC anataka dau la zaidi ya Trillion 1...

READ MORE

Uongozi wa Simba Kumchukulia Hatua Dejan Georgijevic Baada ya Kuvunja Mkataba

BAADA ya aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Mserbia Dejan Georgijevic jana Septemba 28, 2022 kutangaza kuvunja mkataba na klabu hiyo kwa...

READ MORE

Queen Darleen Afunguka Baada ya Kuachana na Ndoa Yake “Acha Wanione Mjinga”

  Queen Darleen; ni msanii wa Bongo Fleva aliye chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ya Diamond Platnumz...

READ MORE

Mo Awacharukia Vigogo Simba, Kisa Matumizi ya Viwanja vya Kukodi, Aitaja Mo Arena

RAIS wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji, amejitokeza hadharani na kutoa maagizo mazito kwa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu hiyo,...

READ MORE

Ofisa Habari Mpya Yanga Ally Kamwe Kimeeleweka Achukua Nafasi ya Bumbuli

KLABU ya Yanga Septemba 27, 2022 imemtangaza Ally Kamwe kuwa Ofisa Habari mpya ameenda kuchukua nafasi ya Hassan Bumbuli ambaye...

READ MORE

Nabi Awaingiza Chaka Wasudan Wasifikirie Atapanga Kikosi dhidi ya Zalan FC

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amewaambia wapinzani wake Al Hilal ya Sudan, wasifikirie kwamba atapanga kikosi na...

READ MORE

Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine, Wazindua App Ya Mashabiki – Video

KLABU  ya Yanga, leo Septemba 27, 2022 imemtangaza Andre Matine kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kutoka klabu ya TP...

READ MORE

Mashabiki wa Timu ya Taifa ya Brazil Waitelekeza Jezi ya Njano Kisa Inafanana na Bendera ya Chama Tawala

MASHABIKI wa timu ya taifa ya Brazil wamepunguza mapenzi yao ya kuvaa jezi ya njano ya timu hiyo kisa chama...

READ MORE

Kocha: Yanga Hii Inakupiga Popote Tutafuzu Makundi Ligi ya Mabingwa

HUKU wengi wakiamini Yanga SC kuanzia nyumbani katika mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al...

READ MORE

Kongowe, Chang’ombe Mabingwa wa Bonanza la AICT Temeke

TIMU ya mpira wa miguu kutoka Afrika Inland Church (AIC) Kongowe, imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Bonanza la makanisa yote ya...

READ MORE

Al-Ahli ya Saudi Arabia Yamtangaza Pitso Mosimane Kuwa Kocha Mkuu

Klabu ya Soka ya Al-Ahli kutoka Saudi Arabia leo Jumapili Septemba 25, 2022 imemtangaza Pitso Mosimane kuwa Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Mayweather Amchapa Mkali wa ‘Mixed Martial Arts’ Mikuru Asakura Kwa KO – Video

Lejendari wa masumbwi duniani, Floyd Mayweather  asubuhi ya leo Jumapili Septemba 25, 2022 amemchapa mkali wa mixed martial arts mjapan...

READ MORE

Saleh Jembe: Morrison Inabidi Arekebishe Hii Hali, Lakini ni Mtu Poa Sana

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema kuwa winga wa klabu ya Yanga Bernard Morrison anatakiwa kurekebisha tabia yake...

READ MORE

Kiduku, Mwarabu Wapima Uzito, Kupasuana Kesho Uwanja wa Nangwanda, Mtwara

MASAA machache yamesalia kutoka hivi sasa kesho Jumamosi Septemba 24, 2022 mabondia Twaha Kiduku na Abdo Khaled raia wa Misri...

READ MORE

Mayele: Wananchi Msihofu, Tunatinga Makundi, Aahidi Kuwaua Al Hilal Mapema Tu

MSHAMBULIAJI kiongozi wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema yeye na wachezaji wenzake hawana presha kuhusu mchezo wa raundi...

READ MORE

Dembele Aililia Miaka Mitano Aliyoipoteza Ndani ya Nou Camp

WINGA wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Ufaransa Ousmane Dembele amefunguka juu ya maumivu aliyoyapitia katika miaka...

READ MORE

Kocha Msauz Aomba Kazi Simba, Alikuwa Msadizi wa Pitso Mosimane Al Ahly

UONGOZI wa klabu ya Simba umeweka wazi bado upo katika mchakato wa kutafuta kocha mpya wa kukiongoza kikosi hiko katika...

READ MORE

Mabadiliko ya Ratiba NBC Premier League 2022/2023

Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania (FAT), ndicho chombo kinachosimamia soka nchini...

READ MORE

NMB Yadhamini Mil 25 Kwa Ajili Ya Michuano Ya Golf Lugalo

Benki ya NMB imetoa udhamini wa Sh. Mil. 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF...

READ MORE

Ukweli Ulio Jificha Kuhusu Antonio Griezmann Kucheza Kwa Dakika 30 kwa Kila Mechi

  KATIKA mechi zote ambazo amecheza kwa mkopo kwenye klabu ya Atletico Madrid akitokea Barcelona Antonio Griezmann amekua akitumika kama...

READ MORE

Mabondia Twaha Kiduku na Karim Mandonga Watua kwa Shangwe Mtwara Leo

MABONDIA Twaha Kiduku na Karim Mandonga leo Septemba 21, 2022 wamepokewa kwa shangwe kubwa la wakazi wa Mtwara tayari kwa...

READ MORE

Simba Yavamia Angola, Yapiga Mkwara Mzito Clube Desportivo 1º de Agosto

UONGOZI wa Simba umewaambia wapinzani wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Clube Desportivo 1º de Agosto ya nchini Angola kuwa...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atumia Dakika 90 Kuwamaliza Al Hilal Ligi ya Mabingwa

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi na msaidizi wake, Mrundi, Cedric Kaze, juzi walijifungia ndani kwa dakika 90 na...

READ MORE

Unashangaa Bao 9 Alizopigwa Zalan, Yanga Alishawahi Kumpiga Mtu Bao 14

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, juzi walifanikiwa kutinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa Zalan...

READ MORE

Ally Mayay Ateuliwa Kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Nchini

GWIJI wa Taifa Stars Ally Mayay Tembele ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini kwenye Wizara ya Utamaduni,...

READ MORE

Waleteni…. Kisinda Apata Leseni Ya Caf Kucheza na Al Hilal ya Nchini Sudan

  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani Tuisila Kisinda, sasa ni ruksa kuichezea timu hiyo katika hatua ya kwanza ya Ligi...

READ MORE

Saleh Jembe: Yanga Inatakiwa Kujipanga Kisawasawa Kuwakabili Al Hilal

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally maarufu kama Jembe amesema kuwa klabu ya Yanga inapaswa kujipanga kisawasawa ili kuweza kuikabili...

READ MORE

Wafahamu De Agosto ya Angola, Wapinzani wa Simba Hatua Inayofuata

RASMI Klabu ya soka ya Simba, itakutana katika hatua inayofuata kwenye mashindano ya club bingwa Afrika watakutana na Desportivo 1°...

READ MORE

Simba Yafuzu Hatua ya Kwanza Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

KLABU ya Simba Imefuzu kwa raundi ya kwanza ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi...

READ MORE

Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri Hapoi Ligi ya Mabingwa Afrika

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri, ameweka wazi licha ya ugumu wa michuano ya kimataifa ambayo wanashiriki, bado malengo yake...

READ MORE

Smith Amponza Mwakinyo, Afungiwa Uingereza, Apanda Viwango Kwa Nafasi Mbili Duniani

  BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amesimamishwa kucheza pambano lolote nchini Uingereza na bodi ya udhibiti ya...

READ MORE

Kutoka Kwenye Simulizi za Knud, Mpaka Kwenye Ushindi Mkubwa Meridianbet!

Turejee kutoka kwa mbobevu wa simulizi za Eskimo bwana Knud mpaka kwenye uhalisia wa ushindi wa kasino ya Mtandaoni kwenye...

READ MORE

Haaland Aendelea Kuuwasha Moto wa Kupachika Mabao Ligi Kuu ya Uingereza

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Manchester City Erling Haalnd ameendeleza moto wake wa kufania nyavu katika michezo ya Ligi Kuu ya...

READ MORE

Man United Yatenga Kitita Kufanya Kufuru Dirisha Dogo la Usajili

KLABU ya Manchester United ya nchini Uingereza imemtengea Kocha wake Erik Ten Hag kitita cha paundi milioni 100 ili kufanya...

READ MORE

Familia ya Twaha Kiduku wamuombea ushindi mkubwa Mtwara

  FAMILIA ya bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku imemuombea ushindi mkubwa bondia huyo kuelekea katika pambano lake...

READ MORE

EPL Wikiendi Hii Mambo ni Moto Ndani ya DStv Kifurushi Bure cha Shangwe!

DStv wanaenedelea kuwa mstari wa mbele kuwaletea wapenzi wa soka mechi hizi na tiketi yako ni dikoda tu! Kwa ofa...

READ MORE