×

Michezo

Atletico Madrid Yakamilisha Dili la Kumrudisha Griezmann Wanda Metropolitano

KLABU ya Atletico Madrid imekamilisha dili la kumrudisha klabuni hapo mshambuliaji wao aliyekuwepo klabuni hapo kwa mkopo kutokea FC Barcelona,...

READ MORE

Jini la Majeruhi Laendelea Kumuandama Kante, Kuikosa AC Milan Leo

KIUNGO mkabaji wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante amekumbwa na majeraha mengine ikiwa ni siku chache baada ya kuanza kufanya...

READ MORE

Luvo Manyonga: Bingwa wa Dunia na Mshindi wa Olimpiki na Vita Yake ya Madawa ya Kulevya

MWANARIADHA wa mbio za kuruka Luvo Manyonga ambaye ni muathirika wa madawa ya kulevya yaitwayo Tik, hii ni aina ya...

READ MORE

Mchezaji wa Brighton Raia wa Zambia Alazimika Kustaafu Soka kwa Matatizo ya Moyo

KIUNGO Mkabaji wa klabu ya Brighton and Hove Albion raia wa Zambia Enock Mwepu (24) amelazimika kustaafu soka kutokana na...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atamba Tutakwenda Sudan na Hesabu Tofauti

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema baada ya kukamilisha dakika 90 za mwanzo Uwanja wa Mkapa, Dar, watawafuata Al...

READ MORE

Mastaa wa Simba Kulamba Mamilioni Wakiwafunga Waangola leo Jumapili

IMEELEZWA kwamba, Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji ‘Mo’ ameahidi kiasi cha shilingi milioni 10 kwa kila mchezaji...

READ MORE

John Bocco: Tunawachapa De Agosto Kwao leo Kwenye Uwanja wa 11 de Novembro

KITAPIGWA leo ambapo Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda, watakuwa Angola kupambana na wenyeji wao, Clube Desportivo 1º...

READ MORE

Kocha wa Yanga: Mashabiki Tulieni, Kazi Haijaisha, Tunaenda Kuwashangaza Kwao

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, ana kibarua cha kwenda ugenini kusaka ushindi dhidi ya Al Hilal baada ya mchezo...

READ MORE

Al Hilal Kesho Hamchomoki kwa Mkapa… Matajiri Yanga Wavamia Kambini

KAMATI ya Mashindano ya Yanga, leo Ijumaa usiku imepanga kufanya kikao kizito sambamba na kula chakula cha usiku na wachezaji...

READ MORE

Zamalek Wagoma Kuja Dar Walipia Gharama Zote Mechi Kupigwa Cairo

IMEELEZWA kuwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Flambeau du Centre ya Burundi dhidi ya Mabingwa wa...

READ MORE

Jimmy Kindoki Awaita Mashabiki wa Simba Kuishangilia Yanga Uwanja wa Mkapa-Video

SHABIKI maarufu wa klabu ya Yanga, Jimmy Kindoki leo Oktoba 7, 2022 amesema kuwa huu ni wakati wa mashabiki wa...

READ MORE

Ten Hag Awawashia Moto Sancho na Malacia, Aoneshwa Kutofurahishwa na Kiwango Chao

KOCHA wa Manchester United Erik Ten Hag amewajia juu wachezaji wake wawili Jadon Sancho pamoja na Tyrell Malacia kutokana na...

READ MORE

Singida, Prisons Zafungiwa Kusajili Kwa Kipindi cha Dirisha Moja … Kisa Kipo Hapa

Klabu za Tanzania Prisons na Singida Big Stars zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, zimepigwa rungu la kutofanya usajili kwa kipindi...

READ MORE

Simba Yapangua Fitina, Yagoma Kulala Angola Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika

UONGOZI wa Simba umeendelea kutengua fitina zote walizoandaliwa na wapinzani wao Primeiro De Agosto ya Angola kwenye Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Haji Manara Ajiachia Kiwanja na Wake Zake Wawili Awapa Pongezi

Haji Manara ameshea picha akiwa na wake zake wawili hotelini na kusema kuwa ni siku kubwa sana kula chakula na...

READ MORE

Waangola Wameisha… Simba Yakodi Dege la Kishua, Watatu Waachwa Dar

KATIKA kuhakikisha wanategua mitego yote ya fitina za nje ya uwanja na kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Guardiola Atoa Ufafanuzi Ishu ya Haaland Kujiunga na Real Madrid

KOCHA Mkuu wa Manchester City raia wa Hispania Pep Guardiola mara baada ya mchezo wa Ligi ya Mbingwa dhidi ya...

READ MORE

Bosi Gor Mahia Akiri Kuwa ni Freemason, Taharuki Yatanda Juu ya Hatma Yake

MWENYEKITI wa Gor Mahia, Ambrose Dickens Otieno Amollo Rachier ameanza kuandamwa na shinikizo zinazomtaka ajiuzulu baada ya kukiri hadharani kuwa...

READ MORE

Al Hilal Hawatoboi… Mabosi Yanga Wapiga Kambi Sudan Kuzuia Hujuma

BAADHI ya mabosi wa Yanga wamepanga kusafiri kuelekea nchini Sudan siku tatu kabla ya mchezo wao wa Kwanza wa Ligi...

READ MORE

Mwamuzi Hans Mabena na Msemaji wa Azam FC Wafungiwa na Bodi ya Ligi Kuu

Mwamuzi wa kati, Hans Mabena kutoka mkoani Tanga aliyechezesha mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya Tanzania Prisons dhidi...

READ MORE

Kombe la Dunia: Tanzania Yatinga Robo Fainali Yaichapa Japan 3-1 Uturuki

Timu ya taifa ya walemavu ya Tanzania imetinga robo fainali ya kombe la dunia kwa watu wenye ulemavu baada ya...

READ MORE

Aziz Ki Awapa Neno Mashabiki wa Yanga, Aanza Tizi Kuwakibili Al Hilal

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz KI ameripoti kambini jana na kuanza mazoezi moja kwa moja na kikosi...

READ MORE

Al Hilal ya Sudan Kutua Dar Kesho, Kukiwasha na Yanga Jumamosi kwa Mkapa

MSAFARA wa wachezaji 23, benchi la ufundi la watu 8 na viongozi 7 wa AL Hilal ya Sudan wanatarajiwa kuwasilini...

READ MORE

Simba Yapangua Fitna Zote Nchini Angola Watanguliza Mashushushu wao

UNAAMBIWA wakati mashabiki wa Simba wakiendelea kushangilia ushindi wa mabao 3-0 walioupata timu yao dhidi ya Dodoma Jiji, tayari mabosi...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Atembelea Klabu ya Fenerbahche ya Nchini Uturuki

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea moja ya klabu kongwe na mashuhuri duniani, Fenerbahche ya Uturuki,...

READ MORE

Tunaenda Ligi ya Mabingwa Kushindana Siyo Kushiriki Tu – Kocha Mpya Simba Queens

KOCHA mpya wa Simba Queens, Charles Ayiekoh Mbuzi amefunguka mambo mengi na Global Publishers mara tu baada ya kujiunga na...

READ MORE

Ronaldo Ajiandaa Kutimka Old Trafford Dirisha Dogo la Usajili, Ten Hag Abariki

NYOTA wa soka wa klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza Cristiano Ronaldo anajiandaa kutimka klabuni hapo majira ya usajili...

READ MORE

Ali Kamwe: Mashabiki wa Yanga ni Mashabiki Wenye Uelewa Mkubwa Kuhusu Soka

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema mashabiki wa Yanga ni mashabiki wenye uelewa mkubwa kuhusu soka na...

READ MORE

Tanzania Yaingia 16 Bora Mashindano ya Dunia ya Mpira wa Miguu kwa Walemavu

TIMU ya Taifa ya Watu wenye ulemavu Tanzania (Tembo Warriors,) imefuzu kuingia katika hatua 16 bora katika mashindano ya kombe...

READ MORE

Kamwe: Nimeshuhudia Ukubwa wa Yanga Kwa Muda Ambao Nimefanya Kazi – Video

  AFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo Oktoba 4, 2022 amesema marafiki wake wanamchukulia tofauti tangu alipojiunga na klabu...

READ MORE

Dillian Whyte Amnyamazisha Tyson Fury Katika Mtandao wa Kijamii

BONDIA Tyson Fury ambaye alipambana pambano baina yake na Dillian Whyte mnamo Aprili 23, mwaka huu na kuibuka mshindi katika...

READ MORE

Mayele Awania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Afrika

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Fiston Mayele amewekwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo...

READ MORE

Yanga Wavujishiwa Siri za Ibenge Al Hilal, Wapewa Mbinu ya Kuwamaliza Mapema

KUELEKEA katika mchezo wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Msaidizi wa AS Vita, Roul Shungu, amewapa...

READ MORE

Watu 127 Wafariki Katika Mkanyagano Katika Mechi ya Soka Indonesia – (Picha +Video)

Watu 127 wamekufa na wengine 180 kujeruhiwa Oktoba 1, 2022 katika mkanyagano wakati wa mechi ya soka nchini Indonesia. Inaarifiwa...

READ MORE

Klopp Amkingia Kifua Trent Alexander-Arnold Baada ya Kuachwa Timu ya Taifa

KOCHA Mkuu wa klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza Jurgen Klopp amemkingia kifua mlinzi wa kulia wa klabu hiyo na...

READ MORE

Sistinho: Mwezi Oktoba Utatoa Taswira ya Mafanikio ya Simba SC Msimu Huu

MCHAMBUZI wa soka kupitia vipindi vya michezo vya Global TV na +255 Global Radio, Sistinho wakati akitoa maoni yake kuhusu...

READ MORE

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Yasogeza Mbele Mechi za Yanga, Simba na Azam FC

BODI ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imetangaza kusogeza mbele baadhi ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC ambayo inahusisha vilabu...

READ MORE

Kampuni ya Meridianbet Waongoza Zoezi la Usafi Upanga Jiji la Dar es Salaam

Kampuni ya meridianbet imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya...

READ MORE

Newcastle United Yafikia Makubaliano ya Usajili wa Mshambuliaji Kutoka Australia

KLABU ya Newcastle United ya nchini Uingereza imefikia makubaliano ya usajili wa kinda mwenye umri wa miaka 18 na mshambuliaji...

READ MORE