×

Michezo

Urusi Yalaani Kutoalikwa Mazishi ya Malkia Elizabeth II Kufanyika Jumatatu

Viongozi wa mataifa mbalimbali duniani wanahudhuria maziko ya Malkia Elizabeth II yanayofanyika Jumatatu, lakini Urusi haitahudhuria kwa kutokualikwa, ikisema ni...

READ MORE

Waliovamia Uwanja wa Simba Wapewa Siku 60 na RC Makalla Kuondoka

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla, amewataka wakazi tisa waliovamia uwanja wa klabu ya simba uliopo eneo...

READ MORE

Jezi ya Michael Jordan ya Aliyochezea  Fainali za NBA za Mwaka 1998 Yauzwa kwa Rekodi ya Dola Milioni 10.1

JEZI ya mchezaji mashuhuri wa mpira wa vikapu wa Marekani Michael Jordan mechi ya kwanza kutoka Fainali za NBA za...

READ MORE

Serena Williams Amkaribisha Roger Federer Kwenye Klabu ya Tenisi ya Wastaafu

SERENA Williams alitoa pongezi kwa nguli mwenzake wa tenisi Roger Federer alipomkaribisha kwenye ‘klabu ya kustaafu’.   Gwiji wa tenisi...

READ MORE

Kamati ya Rufaa TFF Yampunguzia Adhabu Msemaji wa Yanga Haji Manara – Video

  KAMATI ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF  Septemba 14, 2022 imetangaza kumpunguzia adhabu Msemaji wa Yanga...

READ MORE

Simba Yawakalisha Wajelajela Tanzania Prisons, Mkude Apeleka Kilio

KLABU ya Simba leo Septemba 14, 2022  imefanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa bao...

READ MORE

Wamalawi Wabaki na Jina la Chama, Kocha wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa Afunguka

KOCHA Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa ameweka wazi kuwa watakuwa kwenye wakati mgumu zaidi katika mchezo wa marudiano...

READ MORE

Beki wa Man City Benjamin Mendy Akutwa Hana Hatia Kesi ya Ubakaji

STAA wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia kwenye kesi ya ubakaji  wa binti wa miaka 19, Mfaransa huyo ...

READ MORE

Simba Yaibadilishia Mbinu Prisons leo Jumatano Katika Uwanja wa Sokoine Mbeya

  KIKOSI cha Simba leo Jumatano kitakuwa na jukumu moja tu la kuhakikisha kuwa kinaibuka na ushindi mbele ya Tanzania...

READ MORE

Umewahi Kuota Ndoto Bora? Hii Inakuhusu Kutoka Kasino Ya Meridianbet

  Wabobezi wa mambo wanasema unaweza kuifanya ndoto yako kuwa kweli. Kama umeota ndoto nyingi ambazo haijawa kweli, bila shaka...

READ MORE

Klabu ya Coastal Union ya Tanga Yatambulisha Kocha Mkuu Mpya Raia wa Kenya

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imemtambulisha Kocha mkuu mpya, Yusuf Chipo raia wa Kenya kwa mkataba wa mwaka mmoja...

READ MORE

Mabingwa wa Nchi Yanga Walamba Madili Ya Bil. 10.9 kwa Miaka Mitano-Video

KLABU ya Young Africans ya jijini Dar Es Salaam, leo Septemba 12, 2022 imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni...

READ MORE

Kiungo Fundi Yanga Ananukia Fedha Mshahara Wake Gumzo Jangwani

IMEBAINIKA kuwa, kiungo wa Yanga, Mrundi, Gael Bigirimana, alijiunga na timu hiyo kwa dau lililotajwa kuwa ni dola 85,000 ambazo...

READ MORE

Moses Phiri Ingizo Jipya Simba Aweka Rekodi Ligi Kuu Bara kwa Kufunga Mechi Tatu Mfululizo

MOSES Phiri, ingizo jipya ndani ya Simba SC, ameweka rekodi kwa nyota wote wapya waliosajiliwa msimu huu kwa timu za...

READ MORE

Namba Zako Za Bahati Zinaweza Kubadilisha Kila Kitu Leo Kwenye Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet

Keno ni moja ya mchezo ambao umejizolea umaarufu zaidi kwa urahisi wake na kuwatoa kimaso maso washindi. Nyumba ya mabingwa,...

READ MORE

Kocha wa Yanga Awapangulia Kikosi Zalan FC Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa

KUELEKEA katika mchezo kati ya Yanga dhidi ya Zalan FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amesema kuwa watu...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Aanza na Kikao Kizito Dhidi ya Wenyeji wao Nyasa Big Bullets

KUONYESHA hana utani na kibarua ambacho amepewa na Simba, Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda alianza kutekeleza majukumu...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa Afrika… Ukurasa Ndiyo Unafunguliwa Yanga, Simba Kucheza Leo

  PAZIA la michuano ya kimataifa ile inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa msimu huu 2022/23 kwa maana...

READ MORE

Geita Gold FC Matumaini Kibao Wakiwavaa Wasudan

NA MWANDISHI WETU MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold kesho wanatarajia kurusha karata yao ya kwanza katika michuano ya...

READ MORE

Fei Toto Ahidi Kuendelea Mabao ya Mashuti Nje ya 18 kwa Kila Mpira Utakaojaa Mguuni Kwake

  KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameahidi kuendelea kufunga mabao ya mashuti nje ya 18 kwa kila...

READ MORE

Mashabiki Wa Manchester United Wakasirishwa na Kiwango cha Casemiro Kwenye Mchezo Dhidi ya Real Sociedad

MASHABIKI wa Manchester United wakasirishwa na kiwango cha kiungo wao mkabaji Casemiro ambae alionesha kiwango duni siku ya jana katika...

READ MORE

Tuchel Aliwakataa Wababe Wawili wa Ulaya Msimu Uliopita Kusalia Chelsea

CHELSEA ilimtimua kocha wao mkuu Mjerumani Thomas Tuchel hapo jana. Huku baada ya akifukuzwa, kuna ripoti kwamba alikataa nafasi mbili...

READ MORE

Injinia Hersi Apiga Mkwara Mzito Wachezaji Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika

KUELEKEA mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC ya...

READ MORE

Klopp Akiri Liverpool Lazima Wajipange Upya Baada ya Kipigo Dhidi ya Napoli

KOCHA mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp amekiri kwamba timu yake ya Liverpool inahitaji kujipanga upya baada ya kipigo cha goli...

READ MORE

Simba Waelekea Malawi Kucheza Dhidi ya Big Bullets Ligi ya Mabingwa -Video

KIKOSI cha Simba ambacho kipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda leo Septemba 8 kimeanza safari kuelekea nchini Malawi.  ...

READ MORE

Klabu ya Chelsea ya Uingereza Yaachana Kocha Wake Thomas Tuchel Baada ya Kipigo cha 1-0

BAADA ya kupoteza kwa bao moja bila kwenye mechi ya klabu bingwa ulaya klabu ya Chelsea imeamua kumfuta kazi kocha...

READ MORE

Hizi Hapa Sababu Tatu za Msingi Ambazo Zimemuondoa Kocha Simba

  UONGOZI wa Simba jana mchana ulitangaza kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Zoran Manoljović (60) baada ya kudumu kwa...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yashuka Baada ya Kupanda kwa Miezi Mitano Mfululizo… Bei Hizi Hapa

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Serikali Yaingilia Kati Sakata la Mwakinyo, Yaagiza TFF na BMT Kukutana Mara Moja

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Omary Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kukutana mara moja na...

READ MORE

Haaland Peke Yake Hawezi Kuishindia Manchester City Ligi ya Mabingwa Ulaya

KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola anakiri uwezo mkubwa wa Erling Haaland unaweza kusaidia Manchester City kushinda Ligi ya...

READ MORE

Edouard Mendy Akataa Ofa ya Mkataba Mpya Chelsea, Angepokea Mshahara Mdogo Kuliko Kepa Arrizabalaga

EDOUARD Mendy amekataa ofa ya Chelsea ya ufunguzi wa mkataba mpya. Kipa huyo wa Senegal ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa...

READ MORE

Simba Yatangaza Kuachana Rasmi na Kocha Zoran Maki Pamoja na Wasaidizi Wake

KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kuachana na Kocha wake Mkuu Zoran Maki pamoja na wasaidizi wake katika taarifa...

READ MORE

Klabu ya Soka ya KMC Wapata Mdhamini Mpya wa Meridianbet Kwa Miaka Mitatu

Wiki imeanza vyema zaidi kwa Klabu ya soka ya KMC, ambao wamepata mdhamini mpya, ikiwa ni neema kwa klabu hiyo...

READ MORE

Antony Joshua Akubali Kuzichapa Tena Disemba na Mwanamasumbwi Tyson Fury Baada ya Kuombwa Pambano

TYSON Fury amemwita Anthony Joshua kwenye “Batle of  Britain”; Bondia Antony Joshua amejibu kwenye Twitter, akisema atakuwa tayari kupigana Desemba;...

READ MORE

Mbappe Akiri Uhusiano Wake na Neymar Una Pande Mbili, Kuna Wakati Moto na Kuna Wakati Baridi

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe amesema anamheshimu sana mchezaji mwenzake Neymar lakini uhusiano...

READ MORE

Yanga, Azam FC Panachimbika Kwenye Mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Mkapa, Dar

  MAKOCHA wa Yanga SC na Azam FC, wameweka wazi kuwa wanazitaka pointi tatu kwenye mchezo wa leo wa Ligi...

READ MORE

Mbappe Avunja Ukimya Kuhusu Madai ya Uchawi ya Paul Pogba, Mapya Yazuka

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa Kylian Mbappe ameungana na kiungo wa Juventus, Paul Pogba katika sakata la...

READ MORE

Kisinda Atua Rasmi Yanga Huku Timu Hiyo Ikihesabu siku za Kumpokea Mrithi wa Senzo 

YANGA imempokea winga teleza, Tuisila Kisinda ‘TK Master’ aliyetua alfajiri ya leo akitokea nchini Morocco alikokuwa akiichezea RS Berkane, lakini...

READ MORE

Azam FC Wamtangaza Kocha Mpya Denis Lavagne Raia wa Ufaransa, Kutua Dar Leo

AZAM FC imefikia makubaliano na Denis Lavagne, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Mapambano ya Ndondi Yaliyoisha kwa Kustaajabisha

UKIACHANA na Pambano lililowakutanisha Hassan Mwakinyo na Muingereza Liam Smith lililomalizika kwa mwakinyo kusalimu amri bila watu kujua kilichotokea.  ...

READ MORE