×

Michezo

Manara Atema Cheche Adai Wachezaji wa Kitanzania Hawajitambui – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara kupitia kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na 255globalradio na Global TV amesema kumekuwa...

READ MORE

Simba Yapata Balaa Jingine, Kiongozi Afrika Kusini Aishitaki CAF

MTENDAJI MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Afrika Kusini Tebogo Motlanthe amesema kitendo cha Klabu ya Simba...

READ MORE

Watani wa Jadi Kesho Kitawaka Kwa Mkapa, Yanayonogesha Kariakoo Dabi Yapo Hapa

KESHO kutakuwa na mchezo wa watani wa jadi katika Ligi kuu Tanzania Bara ambapo Yanga itaikaribisha Simba. Simba katika mchezo...

READ MORE

GSM Aweka Dau la Mil 400 Kama Bonasi kwa Wachezaji wa Yanga Ili Simba ifungwe

KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Simba, Mdhamini wa Yanga, Bilionea Gharib Said Mohammed ‘GSM’, juzi alifanya kikao kizito na...

READ MORE

Kocha Nabi Agundua Janjajanja na Ubora wa Simba, Aibadilishia mbinu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kubadilisha mbinu dhidi ya Simba kutokana na ubora wa watani wao hao...

READ MORE

Sakho Wala Hana Presha na Yanga, Adai Ushindi Utawapa Matumaini Mapya

WINGA wa kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho, amesema wala hana presha kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Bocco Anogesha Kambi ya Simba, Apania Kuiua Yanga Jumamosi Hii

MSHAMBULIAJI na Nahodha wa Simba, John Bocco, anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kuelekea Kariakoo Dabi.   Dabi...

READ MORE

Old Trafford, Manchester United Itakuwa na Kibarua Kizito Dhidi ya Chelsea leo

KATIKA Uwanja wa Old Trafford, leo Alhamisi, Manchester United itakuwa na kibarua kizito mbele ya Chelsea ukiwa ni mchezo wa...

READ MORE

Wakala Maarufu Barani Ulaya Mino Raiola Yupo Katika Hali Mbaya

MAPEMA leo zimeibuka taarifa juu ya kifo cha moja kati ya mawakala maarufu wa wachezaji barani Ulaya Mino Raiola ambapo...

READ MORE

Tuchel: Hakuna Ambaye Amependa Toni Rudiger Kuondoka

ANTONIO Rudiger ameamua kuondoka ndani ya kikosi cha Chelsea mwishoni mwa msimu wa 2021/22 anatajwa kujiunga na Klabu ya Real...

READ MORE

Manara Akabidhiwa Rasmi Kadi ya Uanachama, Adai Ndoto Yake Imetimia

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema hatimaye ndoto zake zimetimia za kuwa mwanachama wa Yanga hiyo ni baada...

READ MORE

Uongozi wa Yanga, Umeweka wazi Kwamba Wapinzani wao Simba ni wa Kawaida

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kwamba wapinzani wao Simba ni wa kawaida, hivyo hawana hofu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Kisa Mayele Pablo Afanya Kikao na Inonga, Amjaza Upepo

MARA baada ya kikosi cha Simba kutua nchini, haraka Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco alifanya kikao kizito...

READ MORE

Mastaa Simba Waipania Yanga Baada ya Kushindwa Kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho

NAHODHA Msaidizi na Beki wa Kushoto wa Simba, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amesema haikuwa bahati kwao kufuzu hatua ya Nusu Fainali...

READ MORE

Baada ya Chris Mugalu Kuharibu, Simba Yapata Mtambo wa Mabao Afrika Kusini

UNAAMBIWA kosa la kupigwa kadi nyekundu kwa mshambuliaji Chris Mugalu limemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco kuwaomba viongozi wake...

READ MORE

NBC Yazidi Kuinogesha Ligi Kuu, Yatoa Tuzo/Fedha Kwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuboresha masuala mbalimbali ya kimichezo sambamba na kutoa hamasa kwa wachezaji. NBC...

READ MORE

Manara: Inonga ni Beki Mzuri Tatizo Anapenda Kucheza na Jukwaa

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Sunday Manara akifanya mahojiano na kituo kimoja cha habari nchini amesema Beki wa kati...

READ MORE

Mayele: Simba Jiandaeni Jumamosi kwa Mkapa Nimetoa Ahadi Nzito kwa Mashabiki

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa deni kubwa alilobakiza kwa sasa ni kuifunga Simba pekee, mara baada ya kumalizana...

READ MORE

Manara Aunguruma, Adai Anakuja na Mpango Kabambe Kuujaza Uwanja wa Mkapa

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema klabu yake inakusudia kujaza uwanja wa Mkapa kwa angalau robo tatu ya...

READ MORE

Rais Kenyatta na Mkewe Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mwai Kibaki

RAIS Uhuru Kenyatta na Mkewe Margaret Kenyatta wawaongoza wakenya kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais wa zamani Emilio Stanley...

READ MORE

Simba Watolewa Kimataifa Kwa Mikwaju ya Penalti, Orlando Watinga Nusu Fainali

WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba kwenye hatua ya Kombe la Shirikisho safari yao imefika mwisho leo nchini Afrika Kusini baada ya...

READ MORE

Yanga Princess Yapata Ushindi wa 1-0 Dhidi ya Simba Queens Katika Ligi Kuu ya Wanawake

Klabu ya Wanawake ya Yanga imepata ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba Queens katika Ligi kuu ya Wanawake Tanzania. Huu...

READ MORE

Wakiivaa Orlando Pirates Leo… Simba Yapangua Fitna Zote za Wapinzani Afrika Kusini

KUELEKEA mchezo wa mkondo wa pili wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Orlando Pirates dhidi...

READ MORE

Kampuni ya Betpawa Yamwaga Mamilioni, Mkazi wa Ruvuma Alamba Bingo

    FRED ambaye Mkazi wa Ruvuma amejishindia Sh 50Mil kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya BetPawa baada ya...

READ MORE

Yanga Yaandaa Mkataba Mnono kwa Aziz Ki, Injinia Hersi Atoa Tamko Zito

YANGA ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Stephane Aziz Ki, raia wa...

READ MORE

Mshambuliaji wa Vipers Manzoki Kutua Yanga, Kutengeneza Pacha na Mayele

INAELEZWA mabosi wa Yanga wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji hatari wa Vipers ya Uganda, Cesar Manzoki, kwa lengo la kuongeza nguvu...

READ MORE

Pablo afunguka Kuwamaliza Orlando, Onyango na Kanoute Waongeza Jeuri

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco Martin anaamini mchezo wa marudiano dhidi ya Orlando Pirates utakuwa mgumu lakini ataingia...

READ MORE

Saido Kuwakosa Namungo, Aucho na Fei Toto Warejea Kuongeza Mzuka

KOCHA Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza atakosekana kwenye pambano la kesho dhidi...

READ MORE

Kaizer Chiefs Yatangaza Rasmi Kuachana na Kocha wake Mkuu Stuart Baxter

KLABU ya Kaizer Chiefs na Kocha Stuart Baxter wamefikia makubaliano ya pamoja ya kuvunja mkataba wa kocha huyo aiyerudi kuifundisha...

READ MORE

Kiungo Mrundi Amchambua Fei Toto wa Yanga, Atamani Kucheza Pamoja

KIUNGO mkabaji wa Kiyovu ya Rwanda, Mrundi, Ismail Nshimiyimana ‘Pitchou’, amefunguka kuwa, haitakuwa shida kwake kama ikitokea anapata nafasi ya...

READ MORE

Klabu ya Simba Yaanza Safari Kwenda Afrika Kusini, Pambano Kupigwa Jumapili

KLABU ya Soka ya Simba imeanza safari Alfajiri ya leo ijumaa 22, 2022 kuelekea nchini Afrika Kusini ambako itakwenda kucheza...

READ MORE

Lewis Hamilton na Serena Williams Waungana Kuinunua Klabu ya Chelsea

BINGWA wa Dunia mara saba katika mashindano ya uendeshaji wa magari ya Langalanga maarufu kama Formula 1 Sir Lewis Hamilton...

READ MORE

Manchester United Yamtambulisha Rasmi Kocha Mkuu kwa Ajili ya Msimu Ujao

KLABU ya soka ya Manchester United imemtambulisha kocha wa sasa wa Ajax ya nchini Uholanzi Erik Ten Haag kama kocha...

READ MORE

Kariakoo Dabi Yawapagawisha Makocha wa Simba na Yanga Uwanja wa Mkapa, Bado Siku 9

MAKOCHA wa Simba na Yanga, kwa sasa wanapigia hesabu mechi zilizopo mbele yao, huku jicho zaidi likitupiwa Aprili 30, mwaka...

READ MORE

Straika wa Zamani wa Yanga Amchana Makavu Mayele, Amshauri Asibweteke

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Yanga Boniface Ambani amemshauri mchezaji wa Yanga na straika tegemeo wa timu hiyo Fiston...

READ MORE

Ahmed Ally amkebehi Manara, ampongeza Zakazakazi, Ataka Manara Akajifunze

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally amekiri kupokea kwa...

READ MORE

Ratiba ya Kufuzu AFCON Yatoka, Taifa Stars na Uganda Zapangwa Kundi Moja

MAKUNDI ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika AFCON imetoka ambapo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeangukia kwenye...

READ MORE

Fulham Yafanikiwa Kupanda Daraja, Sasa Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza Msimu Ujao

KLABU ya Fulham yenye makao yake jijini London katika Uwanja wa Craven Cottage imefanikiwa kupanda daraja na kushiriki Ligi Kuu...

READ MORE

Morrison Apewa Kazi Maalum Kuimaliza Yanga Aprili 30 Kwa Mkapa, Mchezo wa Ligi Kuu

  KUFUATIA kutokuwepo kwenye mipango ya mchezo wa marudiano wa robo fainali dhidi ya Orlando Pirates, benchi la ufundi la...

READ MORE

Liverpool Yaichakaza Man United, Ronaldo Apewa Dakika Moja ya Heshima

KATIKA mchezo wa Ligi kuu nchini Uingereza uliochezwa kwenye uwanja wa Anfield klabu ya Liverpool imeibuka na ushindi mnono wa...

READ MORE