×

Michezo

Mkazi wa Morogoro Ahitimisha Sportpesa Bet Bonanza na Tsh. 15,888,000

MKAZI wa Lukobe, Morogoro, George Kimaro leo asubuhi ameibuka mshindi wa kufungia kampeni ya Bet Bonanza ya Sportpesa, baada ya...

READ MORE

Orlando Pirates Yaifanyia Umafia Simba Bongo, Mashushushu Watumwa Kuwachunguza

IMEELEZWA kuwa mashushushu wa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini, wapo nchini tangu wiki iliyopita wakiwafuatilia kwa ukaribu wapinzani wao,...

READ MORE

Video: Simba Wazindua Kampeni Kuelekea Mchezo Dhidi Ya Orlando Pirates, Ahmed Ally Atema Cheche

Klabu ya Simba leo Aprili 12, 2022 wamezindua kampeni ya hamasa kwa mashabiki kujitokeza kwenye mchezo dhidi ya Orlando Pirates...

READ MORE

Huko nchini Ghana, Shabiki Aingia Uwanjani Kushangilia Akiwa Uchi Wa Mnyama

SHABIKI mmoja wa klabu wa Asante Kotoko, Martin Kyei (32) amewaacha watu hoi baada ya kuvua nguo zote na kubaki...

READ MORE

TFF, TPLB Sogezeni Macho Yenu Championship Makosa ya Waamuzi, Mechi Zimebaki Sita

MWENDO wa Ligi Daraja la Kwanza umeongeza mvuto kwa kiasi kikubwa wakati ligi hiyo ikiwa inakwenda ukingoni.   Vinara ni...

READ MORE

Simba Yapiga Marufuku Mashabiki Kupiga Tochi Mechi dhidi ya Orlando Pirates

UONGOZI wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na...

READ MORE

Manchester City Waendelea Kung’ang’ania Kileleni mwa Msimamo wa EPL

BADO Manchester City ni vinara wa Ligi Kuu England wakiwa wametofautiana pointi moja na wapinzani wao Liverpool.   Zote zimecheza...

READ MORE

Sasa ni Rasmi Morrison Hawezi Kwenda Afrika Kusini, CEO Barbara Athibitisha

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba raia wa Ghana Bernard Morrison sasa ni rasmi kuwa hawezi kwenda nchini Afrika Kusini...

READ MORE

Klabu ya Yanga Yatinga Nusu Fainali Ya Kombe la FA Baada ya Kuichapa Geita kwa Penati

KLABU ya Soka ya Yanga imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho maarufu kama FA kwa...

READ MORE

Ronaldo Aomba Msamaha Kwa Kuipiga Chini Simu ya Shabiki, Polisi Wafunguka

Polisi nchini Uingereza wanachunguza madai ya shambulio baada ya staa wa Manchester United Cristiano Ronaldo kuonekana akivunja simu ya shabiki...

READ MORE

Yanga Wanataka Yote Kwa Mpigo, Leo Jumapili Kukipiga Dhidi ya Geita Kombe la Shirikiso

UONGOZI wa Yanga SC, umefunguka kuwa, unayahitaji makombe yote wanayoshiriki msimu huu ambayo ni Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe...

READ MORE

Kocha Simba Awafungia Kazi Kagere, Mugalu Kucheza na Polisi Tanzania Moshi Leo

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema wanayafanyia kazi makosa ya wachezaji wao ikiwa ni pamoja na tatizo la umaliziaji...

READ MORE

Brazil Wamtega Guardiola kwa Sh Bilioni 30 Kuifundisha Timu ya Taifa, Yupo Man City Hadi 2023

IMERIPOTIWA kuwa Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amepewa ofa ya mshahara wa pauni milioni 10 kwa mwaka (Sh bilioni...

READ MORE

Kocha Orlando Aihofia Simba kwa Mkapa, Kukutana na Wakati Mgumu wa Mashabiki Elfu 60,000

KOCHA Mkuu wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Josef Zinnbauer amesema kuwa ubora wa Simba na matokeo mazuri waliyoyapata katika...

READ MORE

Bosi Simba Afungukia Ujio wa VAR CAF Kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam

UONGOZI wa Simba umefurahia ujio wa Msaada wa Video kwa Refa (VAR) itakayotumika kwa mara ya kwanza katika hatua ya...

READ MORE

Klabu ya Simba Imeruhusiwa na CAF Kuingiza Mashabiki Elfu 60 Uwanja wa Mkapa

Klabu ya Soka ya Simba imeruhusiwa na CAF kuingiza mashabiki elfu 60 katika pambano lake la robo fainali ya Kombe...

READ MORE

Djuma Apewa Majukumu ya Saido na Mayele, Apewa Kupiga Penalti Zote Yanga

BEKI mkongwe wa Yanga, Mkongomani, Shaaban Djuma, amepewa majukumu mapya ya kupiga penalti zote itakazozipata timu hiyo inayowaniwa ubingwa wa...

READ MORE

Kocha wa Chelsea Akiri Mechi ya Marudiano Dhidi ya Real Madrid Imeshaisha

TUMESHATOLEWA. Ndivyo alivyosema Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel, baada ya kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Real Madrid kwenye robo...

READ MORE

Morrison, Sakho wamtisha bosi Orlando

UONGOZI wa Orlando Pirates, umewataja wachezaji kama Bernard Morrison na Pape Ousmane Sakho kuwa ni wachezaji wa kuchungwa katika mchezo...

READ MORE

Kocha wa Yanga Adai Ubingwa ni Asilimia 85, Aapa Kumaliza Shughuli Mapema

  BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ambao Yanga wameupata dhidi ya Azam FC juzi, sasa kocha wa timu hiyo,...

READ MORE

Kikosi cha Simba Kimetamba Kushiriki Hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho

UONGOZI wa kikosi cha Simba, umetamba kuwa walikuwa tayari wamejiandaa kukutana na mpinzani yeyote kwenye Robo Fainali ya Kombe la...

READ MORE

Banda Achafua Hali ya Hewa, Awatahadharisha Orlando Juu ya Mbinu Chafu za Simba

BEKI wa kati wa Klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani Abdi Banda ameingia katika sekeseke zito kwenye mitandao ya...

READ MORE

Simba Washinda 2-1 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo Wafikisha Pointi 40 Ligi Kuu ya NBC

WAKIWA Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara,Simba wameshinda mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union wakipata...

READ MORE

Ronaldo Amjibu Rooney Amuambia  Aache Wivu ni Baada ya Sakata la Kumuita Mzee

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Cristiano Ronaldo amemjia juu Gwiji wa Manchester United na mchezaji mwenzake wa zamani Wayne Rooney akimuambia...

READ MORE

Chilunda Kukaa Nje kwa Muda wa Wiki Nne, Daktari Adai Haitaji Upasuaji

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Azam FC Shaaban Iddi Chilunda anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki nne baada ya...

READ MORE

Mdau wa Soka Afunguka, Ammwagia Sifa Ntibazonkiza Adai Yeye ni Kama Mvinyo

UBORA wa Saido Ntibazonkiza umeendelea kuwa juu tangu sakata lake la utovu wa nidhamu na Klabu ya Yanga kumalizika.  ...

READ MORE

Fifa Yakanusha Madai ya Kutumika Dakika 100 Kwenye Kombe la Dunia 2022

BAADA ya hivi karibuni taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya Fifa kuangalia uwezekano wa kuongeza dakika za mchezo...

READ MORE

Coastal: Tunaijua Mipango ya Simba Tumejipanga Kuibuka na Ushindi Uwanja wa Mkwakwani

UONGOZI wa Coastal Union umefunguka kuwa unafahamu vizuri mipango ya wapinzani wao, Simba na watafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa wanaiharibu...

READ MORE

Pambano la Dillian Whyte na Furry Limekufa, Mapromota wa Pambano Wathibitisha

PAMBANO la bondia Dillian Whyte na Tyson Fury limekufa rasmi, Whyte hatocheza tena pambano lake la ubingwa wa dunia uzito...

READ MORE

Yanga Haishikiki Ligi Kuu Yafikisha Pointi 51, Yaipiga Azam 2-1 Mayele ‘Atetema’

DAKIKA 90 zimemalizika katika Uwanja wa Azam Complex kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Azam.  ...

READ MORE

Chama Atangazwa Mchezaji Bora wa Mwezi Machi Awabwaga Mayele na Kahola

  Kiungo wa klabu ya Simba Sc, Clatous Chota Chama ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi katika NBC Premier...

READ MORE

Sportpesa Bet Bonanza Kutoa Kitita cha Shilingi Milioni 15.8 Wiki Ijayo

WASHINDI watatu, Shaaban Mwita wa Mgusu, Geita, Abdalla Said Ali wa Tandahimba, Mtwara na David Jonas wa Magu, Mwanza, leo...

READ MORE

Gwiji wa Soka Matt Le Tissier ajiuzulu Ubalozi Kisa Vita ya Ukraine na Urusi

GWIJI wa Soka aliyewahi kuwika na klabu ya Southampton na timu ya taifa ya Uingereza Matt Le Tissier amejiuzulu nafasi...

READ MORE

Simba Queens Yapiga Hesabu Kali Mzunguko wa Pili, Yapanga Kumaliza Kazi Mapema

MENEJA wa Simba Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite (SWPL), Selemani Makanya, amesema baada ya kumaliza mzunguko...

READ MORE

Mbeya City Waitaka Nafasi ya Azam, Waapa Kupambana Kufa na Kupona

OFISA Habari wa Mbeya City Shaha Mjanja, amesema mipango yao kwa sasa ni kuwa katika nafasi tatu za juu katika...

READ MORE

Azam Fc V Yanga Leo Uwanja wa Azam Complex, Acha Inyeshe Tuone Panapovuja

MFUMO ni uleule wa kusaka ushindi kwa timu zitakazoshuka uwanjani na hii ya leo ni Dabi ya Dar es Salaam...

READ MORE

Sakata la Morrison Kuzuiwa Kuingia Nchini Afrika Kusini, Barbara Atamka Neno

TAARIFA zilizothibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Soka ya Simba Barbara Gonzalez ni kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo...

READ MORE

Mmemsikia Mugalu Lakini Huko Simba, Atoa Kauli Ya Kibabe Baada ya Kufunga Mabao Mawili

MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu amesema kuwa mabao ambayo amefunga katika mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho dhidi ya USGM...

READ MORE

SP FC ya Madale Yacheza Mechi ya Kirafiki na Amigos FC Ikijiandaa na Madale Festival

    TIMU ya SP FC inayomilikiwa na wakazi wa Madale jijini Dar, imecheza mechi ya kirafiki na timu ya...

READ MORE

Azam Kuikaribisha Yanga Katika Uwanja wa Chamanzi Leo Jumatano Saa Mbili Usiku

Leo Jumatano, Azam FC inaikaribisha Yanga SC uwanja wa Chamanzi katika msako wa pointi tatu ambazo kila timu inahitaji kusepa...

READ MORE