×

Michezo

Simba Yaangukia Mikononi mwa Orlando Pirates Robo Fainali Shirikisho

KLABU ya Soka ya Simba SC imepangwa kukutana na Klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini katika hatua ya...

READ MORE

Fifa Yafungua Milango ya Kununua Tiketi kwa Ajili ya Fainali za Kombe la Dunia 2022

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu (FIFA) limefungua dirisha la maombi ya tiketi kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam Akubali Ubora wa Yanga Ligi Kuu Bara

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam Abdi Hamid Moallin amesifia ubora wa kikosi cha Yanga na kujipanga kuandaa mbinu ili...

READ MORE

Rooney Adai Manchester United Ilifanya Makosa Kumsajili Cristiano Ronaldo

GWIJI wa soka na mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza Wayne Rooney ameibuka na...

READ MORE

Simba Mdomoni mwa Vinara CAF, Droo ya Robo Fainali Kuchezeshwa Leo Cairo

BAADA ya kutinga hatua ya robo fainali kwa kishindo usiku wa kuamkia jana, wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya...

READ MORE

Beki Simba: Ubingwa Bado ni Mgumu “Kwa sasa Huwezi Kusema Nani Atakuwa Bingwa”

BONIPHACE Pawasa, beki wa zamani wa kikosi cha Simba, amesema kuwa kwa sasa bado vita ya ubingwa ni ngumu kutokana...

READ MORE

Yanga Yawaandalia Mtego Azam, Simba Benchi la Ufundi la Yanga Wafunguka Mikakati Mipya

KATIKA kuhakikisha wanapata matokeo kwenye ratiba ngumu ya michezo yao miwili ijayo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam keshokutwa...

READ MORE

Kocha Simba Atoa Tamko la Kibabe Dhidi ya USGN Leo “Hii ni vita ya Kufa au Kupona”

ZIKIWA zimebaki saa chache kabla ya Simba haijashuka uwanjani kuvaana na US Gendarmerie katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Kiungo Simba Atamani Kucheza Na Sure Boy, Fei Toto, Awakataa Aucho na Bangala

KIUNGO wa kimataifa wa zamani wa Simba raia wa Ghana, James Kotei, ameweka wazi kuwa kama ataambiwa achague viungo wa...

READ MORE

Nabi Azitaka Kwa Nguvu Pointi Za Azam Aprili 6 “Tunahitaji Kuona Timu Inapata Ushindi”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa, mipango yao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo ujao dhidi ya Azam...

READ MORE

USGN Wamekwisha… Kocha Simba Akesha Na Sakho, Ampa Mbinu za Maangamizi Usiku

ILI kuhakisha wanayazoea mazingira ya kucheza usiku mwingi, Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, juzi Ijumaa aliamua kuwapigisha mazoezi...

READ MORE

Pigo Lingine Yanga, Aucho Ajitonesha, Hatihati Kuikosa Azam Fc

TAARIFA mbaya kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa, kiungo wao tegemeo hivi sasa, Mganda, Khalid Aucho, huenda akaukosa mchezo mgumu...

READ MORE

EPL, Laliga, Bundesliga Na Serie A Mambo Ni Bambam

Baada ya mapumziko ya wiki 2 na kupisha mashindano ya Kimataifa, Ligi mbalimbali zinaendelea wikiendi hii ikiwa ni mbio za...

READ MORE

Fernandes Ajitia Kitanzi Man United Mpaka 2026, Ataka Makombe

Kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandes  ameongeza mkataba mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2026 mkataba huu ukiwa na...

READ MORE

Kocha Azam Atumia Dakika 90 Kuimaliza Yanga Azam Complex

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Abdihamid Moallin, amesema dakika 90 alizotumia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya DTB inayoshiriki Championship,...

READ MORE

Fei Toto Ashusha Presha Yanga, Atoa Maneno Mazuri kwa Mashabiki Wake

KIUNGO fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametoa maneno mazuri kwa mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kukosekana kwake uwanjani...

READ MORE

Straika Taifa Stars Mikononi mwa Yanga, Wajipanga Kumsajili Msimu Ujao

AKICHEZA mechi mbili akiwa na kikosi cha Taifa Stars kwa mara ya kwanza, straika George Mpole, tayari ameivutia Klabu ya...

READ MORE

Simba Yampasua Kichwa Kocha wa Yanga… Awapa Onyo Wachezaji Wake

KUTOKANA na presha wanayoipata kutoka kwa wapinzani wao katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Bosi Afichua Ishu ya Mayele Kusajiliwa Yanga, Haikuwa Rahisi

PENGINE kama viongozi wa Yanga wasingekuwa na uhakika wa kufanikisha usajili wa mshambuliaji Fiston Mayele raia wa DR Congo, basi...

READ MORE

Mtunisia Aleta Vifaa Vipya Yanga, Wachezaji Wapya Wajipange!

YANGA hawataki kufanya makosa katika usajili wa msimu ujao baada ya Daktari Mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Youssef Ammar, kuweka...

READ MORE

Adebayor Awaandalia Sapraizi Simba Uwanja wa Mkapa

KIUNGO mshambuliaji wa US Gendarmerie, Victorien Adebayor, ameweka wazi kuwa atahakikisha anapambana kwa nguvu ili kuisaidia timu yake kupata ushindi...

READ MORE

Yanga Yatenga Dk 90 Kupata Kikosi Kazi

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utatumia dk 90 kwenye mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Mafunzo leo Jumatano kwa...

READ MORE

Wasauzi Kumchomoa Beki Simba

  VIGOGO wa soka kutoka Afrika Kusini, Orlando Pirates wametajwa kuwa bado kwenye mpango wa kumsajili beki wa kati wa...

READ MORE

Kabwili Aanika Mazito kuhusu Yanga. Afunguka Sababu za Kutoonekana kwenye Kikosi chake!

Mlinda Lango Ramadhan Kabwili amevunja ukimya na kueleza kwa undani ukweli wa maisha yake baada ya kushindwa kuonekana kwenye kikosi...

READ MORE

Daktari Bingwa Zambia Auawa kwa Vurugu za Nigeria na Ghana

Mmoja wa madaktari bingwa wa Zambia amefariki dunia baada ya mchezo wa Nigeria dhidi ya Ghana wa kufuzu Kombe la...

READ MORE

Jopo La Madaktari Lamuonya Fei Toto

  JOPO la madaktari wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, limemtaka kiungo fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei...

READ MORE

Tigo Pesa na Axeva Wazindua Bahati Nasibu ya Dilipesa

    KAMPUNI ya mtandao wa simu ya Tigo kupitia huduma yake ya Tigo Pesa kwa kushirikiana na Kampuni ya...

READ MORE

Sure Boy Awachimba Mkwara mzito Azam FC

  KIUNGO wa Yanga, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ amewachimba mkwara mabosi wake wa zamani Azam FC kwa kuwaambia kuwa atahakikisha...

READ MORE

Usajili wa Nabi Yanga Wavuja

  KATIKA kuhakikisha anakuwa na kikosi imara atakachokitumia katika michuano ya kimataifa msimu ujao, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, ,...

READ MORE

Morrison: Tunajiamini, tutafuzu

BERNARD Morrison, kiungo wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amesema kuwa wanaamini kwamba watafuzu hatua ya robo fainali...

READ MORE

GSM Wafunguka Kumvuta Yanga Straika ASEC

BAADA ya kuibuka kwa tetesi kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mpango wa kumsajili nyota wa Asec Mimosas ya Ivory...

READ MORE

Wawa, Morrison Wawekwa Mtegoni

MABOSI wa Simba wameweka wazi kuwa kwa sasa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki ikiwemo...

READ MORE

ASEC Yaipa Mbinu Simba Kuwamaliza Gendarmerie

  BENCHI la Ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco, lina matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika mchezo...

READ MORE

Mtambo wa Mabao Hatihati…

  IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo tegemeo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amepata majeraha yaliyomfanya aondolewe kwenye kikosi cha Timu ya...

READ MORE

Kiungo Simba Aitabiria Ubingwa Yanga

  WAKATI Ligi Kuu Bara zikibaki takribani mechi 18 kwa kila timu kucheza kumaliza msimu huu, vinara wa ligi hiyo,...

READ MORE

Taifa Stars Dimbani Leo Kwa Mkapa

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo Jumanne kitacheza mchezo wa pili wa kirafiki dhidi ya Sudan...

READ MORE

Yanga: Hakuna Timu Ya Kumsajili Mayele Bongo

UONGOZI wa Yanga umefunguka ishu ya mshambuliaji wao wa kati kipenzi cha mashabiki, Fiston Mayele kuhusishwa kujiunga na Kaizer Chiefs...

READ MORE

Pablo Amuondoa Dilunga Simba

KUFUATIA majeraha ya muda mrefu ambayo ameyapata kiungo wa Simba, Hassan Dilunga, ambayo yanaweza kumuweka nje ya uwanja mpaka mwishoni...

READ MORE

Rs Berkane Walimwa Faini Kisa Simba

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), imetoa adhabu kwa Klabu ya RS Berkane ya Morocco kwa...

READ MORE

Yacouba Rasmi Yanga SC

HABARI njema kwa Wanayanga ni kwamba, mshambuliaji wao, Yacouba Songne muda wowote kuanzia sasa atarejea ndani ya uwanja kuanza kuitumikia...

READ MORE