×

Risasi

MGONJWA ABOMOLEWA NYUMBA KIMAFIA

KAZI ni kwako! Mkazi wa Kimara- Golani jijiji Dar, Esther Mpari ambaye ni mgonjwa wa presha amemlilia Waziri wa Nyumba...

READ MORE

WATEKAJI KUNDI LA WEZI WA WATOTO LATAJWA

WIMBI la utekaji watoto linazidi kutikisa ambapo katika siku za hivi karibuni wameshatekwa watoto watatu huku wengi wakihoji ni nani...

READ MORE

PICHA YA WANJARA, MWANAMKE MWENZIYE YAZUA UTATA

MREMBO aliyewahi kushikilia Taji la Miss Mara mwaka 2000, Rashida Wanjara hivi karibuni alizua gumzo la aina yake baada ya...

READ MORE

UWOYA ULITAKA NDOA MWENYEWE, TULIA SASA !

Irene Uwoya. KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya. Habari za siku, mambo yanakwenda vizuri? Bila shaka u-mzima wa...

READ MORE

KUVISHWA PETE YA UCHUMBA, SIRI 3 KILIO CHA LULU ZAFICHUKA

BAADA ya wikiendi iliyopita staa ‘grade one’ wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuvishwa pete ya uchumba na bosi...

READ MORE

PRETTY ACHEKELEA PENZI LA MOBETO, DIAMOND KUVUNJIKA

SIKU chache baada ya mwanamitindo, Hamisa Mobeto kuanika ukweli kwamba penzi lake na mzazi mwenzake ambaye ni msanii wa Bongo...

READ MORE

JB AKATAA KUWA MRITHI WA MZEE MAJUTO

LICHA ya mashabiki wengi kudai kwamba anayestahili kuchukua nafasi na kuwa mrithi wa aliyekuwa staa maarufu wa vichekesho Bongo, marehemu...

READ MORE

KHADIJA YUSUF AMALIZA BIFU NA WIFI YAKE

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye muziki wa Taarab ambaye ni dada wa mwimbaji maarufu wa muziki huo zamani kabla hajamrudia Mungu...

READ MORE

MTOTO BEAUTY ALIYEIBIWA KISHA KUPATIKANA, WAZAZI WATOA FUNDISHO

DAR ES SALAAM: Tukio la mtoto Beauty Yohana wa Mbezi jijini Dar kuibwa katika mazingira ya kutatanisha akiwa kanisani kisha...

READ MORE

SKENDO YA UMBEYA MKE WA MTU AFUNGA MTAA

MKE wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mama Glory hivi karibuni alifunga mtaa baada ya kumzulia timbwili la aina yake...

READ MORE

RPC MBEYA: UWOYA TUMEMTIA MBARONI

BAADA ya kusambaa kwa taarifa ya kukamatwa kwa staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya na wenzake, Kamanda wa...

READ MORE

UNDANI SIKU 8 ZA SOUDY BROWN, MAUA SAMA LUPANGO

 LICHA ya kuachiwa kwa dhamana, Mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Shilawadu, Soud Brown na msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama...

READ MORE

NYUMBA YA UDONGO HAIPIGWI DEKI

 HALOOOO eeeehhhh! Umezoea cheko la nyundo ngoja nikupe la msumari miye, nginjha nginjha! Nimeingia mjini tena Anti Naa kungwi wa...

READ MORE

NANDY APATA MPENZI MWINGINE

MSANII wa Bongo Fleva ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya Aibu, Faustine Charles ‘Nandy’ amefunguka kwamba kwa sasa hana...

READ MORE

TUNDA AMFUNGUKIA ALIYEDAIWA BWANA’KE

BAADA ya picha akiwa anazu-ngumza na mwanaume kwenye Mtandao wa Snapchat kusambaa mitandaoni na kudaiwa kuwa ndiye bwana’ke mpya, video...

READ MORE

AMPA KIPIGO MKEWE, AJIUA

MWANAUME mmoja aliyefahamika kwa jina la Patrick, mkazi wa Pongwe mkoani Tanga, amedaiwa kumpiga mkewe na kisha kujiua usiku wa...

READ MORE

ALICHOFANYIWA MTOTO HUYU… MATIBABU INDIA UTATA WAIBUKA!

WAGONJWA wengi wakiambiwa wanapelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu, husema; “Asante Mungu” wakiamini huko ndiko uliko uponyaji, kumbe sivyo,...

READ MORE

MKIFANYA HAYA , LAZIMA MFURAHIE UHUSIANO

MAHUSIANO ya mwanaume na mwanamke huku-tanisha watu kutoka koo mbalimbali. Kila mtu anakuwa amelelewa tofauti kwa wazazi wake.  Tabia haziwezi kufanana....

READ MORE

LYNN ABANWA KUMPIKU MOBETO KWA MONDI

MUUZA nyago (video queen) aliyewahi kuuza sura kwenye Wimbo wa Kwetu wa Msanii Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ wa Lebo ya Wasafi...

READ MORE

CALISAH AJITAPA KWA UFUSKA!

MWANAMITINDO asiyeishiwa skendo mjini, Calisah Abdulhamid amefunguka kwa mara nyingine tena kuwa katika ukuaji wake mpaka sasa alipofikia ameshatembea na...

READ MORE

DUDE AONA FURSA BONGO MOVI

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameona fursa ya kutangaza biashara ya filamu ni kubwa kwa sasa tofauti...

READ MORE

BRANDY; MTOTO WA NYOSHI EL SAADAT ALIEVAMIA ‘GAME’

UPO msemo kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka! Yaani anachofanya baba au mama basi na mtoto naye anaweza kufuata nyayo...

READ MORE

NANDY: NAACHA MUZIKI 2020

MSANII wa Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’ anatarajia kuacha kazi ya muziki ifikapo mwaka 2020 na badala yake atajikita kwenye...

READ MORE

MUNA ABURUZWA POLISI NA MAMA’KE

BADO mambo ni moto! Mama mzazi wa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce Nungu almaarufu Muna Love, Ritha Rabia...

READ MORE

RC ACHARUKA MPIRA YA KIUME KUZAGAA SHULENI

SINGIDA: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amepiga marufuku uanzishwaji wa kumbi za starehe zenye kujihusisha na vitendo...

READ MORE

WOLPER AMWAGA MATUSI KISA MUNA

MUIGIZAJI mwenye jina kubwa Bongo, Jacqueline Wolper ‘Wolper’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akiporomosha matusi baada ya kuulizwa anazungumziaje sakati la...

READ MORE

SHILOLE WANAOFICHA WATOTO WATAUMBUKA WOTE

BAADA ya sakata la mwanamama Rose Alphonce ‘Muna Love’ la kukana kwamba hana mtoto mwingine zaidi ya marehemu Patrick Peter...

READ MORE

UCHUMBA WA TUNDA, CASTO CHALI

LICHA ya hivi karibuni kujinadi kwamba anampenda mchumba wake na wana malengo kibao, lile penzi la mtangazaji wa Runinga ya...

READ MORE

RAYVANNY: MAMA WATOTO AKITEMBEA UTUPU POA TU

MWANAMUZIKI kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefunguka kwamba, kwa dunia ilipofikia sasa kwa upande wake...

READ MORE

UNDANI, UKWELI SUMU YA DIMPOZ DIAMOND, KIBA HATARINI !

Sumu anayodaiwa kunyweshwa staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwenye kinywaji imeibua hatari iliyopo kwa mastaa wengine Bongo...

READ MORE

SIRI YA UKIMYA WA KIDOA NI HII

    WAFUATILIAJI wa maisha ya mastaa watakubaliana na ukweli kwamba, msanii aliyewahi kutingisha kwa vituko, mapicha ya nusu utupu...

READ MORE

UMEUMIZWA PENZINI, HUJUI HATMA YAKO? JIFUNZE

 MAPENZI yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma. Inauma kwa...

READ MORE

SKENDO YA KUKODI WATUKANAJI MTANDAONI WASTARA, ESMA WATOA POVU!

BAADA ya hivi karibuni dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Khan na msanii wa filamu, Wastara Juma kuporomosha matusi...

READ MORE

ODEMBA AMVAA DIAMOND KUROGA KWA HAMISA

MWANAMITINDO aliyewahi kutamba miaka ya 2000, Miriam Odemba amemvaa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kumpa vipande vyake kuwa, hakustahili kumsema...

READ MORE

KAJALA AWEKA NGUMU KUMUANIKA BABY WAKE

STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja ameweka ngumu kumuanika mpenzi wake wa sasa huku akirusha dongo kwa kusema kuwa, wanaotamani...

READ MORE

WANNE WA FAMILIA MOJA WAPOFUKA KIMA AJABU!

DAR ES SALAAM: Hujafa hujaumbika! Ndugu wanne wa familia moja wamejikuta wakiteseka baada ya kupata tatizo la kupofuka macho bila...

READ MORE

UZUNGU WADAIWA KUMFELISHA BELLE 9

MWANAMUZIKI ambaye amefanya mambo mengi kwenye gemu la Bongo Fleva ikiwa ni pamoja na kutengeneza kolabo kali, Abedinego Damian, ‘Belle...

READ MORE

WEMA, MOBETO HAPATOSHI

VITA imekolea! Ni kati ya mwanadada Wema Isaac Sepetu na mwanamama Hamisa Hassan Mobeto ambapo hapatoshi kiasi cha baba wa...

READ MORE

HUKU AKIENDELEA NA MATIBABU, ALI CHOKI TUMUOMBEE

HALI ya staa wa muziki wa Dansi nchini, Ali Choki ambaye amelazwa katika Hospitali ya Bugando, Mwanza bado haijatengemaa ambapo...

READ MORE

DIANA ATIA NENO GARI LA MISS TANZANIA

MWAKA 1994, ndipo rasmi mashindano ya Miss Tanzania yalianza Bongo na mshindi wa kinyang’anyiro hicho alikuwa ni Aina Maeda.  Miaka 14...

READ MORE