×

Siasa

CUF Ya Maalim Seif Yamwomba Lipumba Asiwavuruge Wanachama

  VIONGOZI wa Matawi ya Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF)...

READ MORE

Taarifa ya Utendaji wa TAKUKURU Yafika kwa Rais Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amepokea toka kwa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Muheza Atimkia CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Tanga kimepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Muheza,...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Afrika Kusini Auawa kwa Kuchomwa Visu Bungeni!

  MWANDISHI: WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAKUJUZA ZAIDI KWA wanaokumbuka, siku hiyo shule zilifungwa, wafanyakazi serikalini waliowahi kazini asubuhi walirudi...

READ MORE

Musukuma Akumbuka Kikwete Alivyomuibua Kisiasa

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma, amesema kwamba maneno ‘Utakumbukwa Kikwete’ yaliyobandikwa kwenye baadhi ya mabasi yake ni ishara...

READ MORE

Mnyika Alaani Nape Kutishiwa Bastola Hadharani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Bara (Chadema) leo kimelaani kitendo cha vyombo vya dola kutumia vibaya silaha ya moto iliyotolewa...

READ MORE

Mwigulu: Nape Sio Jambazi…

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameandika ujumbe katika mitandao ya kijamii kufuatia ishu ya aliyekuwa Waziri...

READ MORE

Meya wa Dar Amfungulia Mashtaka Matano Makonda

  Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob amemfungulia mashitaka matano Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda...

READ MORE

Kuzungumzia ‘ujamaa’ ni kupoteza wakati!

Na Walusanga Ndaki/GPL WIKI iliyopita tuliona baadhi ya wanasiasa nchini wanavyoendesha makongamano ya ‘ujamaa’  wakitafuta kusifiwa na Watanzania kuhusu mfumo...

READ MORE

Tundu Lissu Asomewa Mashtaka 5 Kisutu, Aachiwa kwa Dhamana, Akwea Pipa Kuelekea Arusha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu aliyefikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashtaka matano. Lissu...

READ MORE

Vigogo Chadema Watimkia CCM (+VIDEO)

DODOMA: Katika mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amepokelewa Moses Machali Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini kwa Tiketi...

READ MORE

Wabunge CCM Wadaiwa Kupanga kuvuruga Mkutano Mkuu Dodoma (+video) Mkutano Leo

MBUNGE Hussein Bashe wa Nzega Mjini na Joseph Kasheku wa Geita wakiwa na aliyewahi kuwa mbunge wa Kisarawe, Adam Malima...

READ MORE

Alichoandika Wema Kabla ya Lema Kuhutubia Arusha Leo

MSANII wa filamu na malkia wa mtandao nchini Wema Sepetu ‘Madam’,  amejikita zaidi katika siasa baada ya kuhamia Chama cha...

READ MORE

Wema, Mbunge wa Chadema, Wapanda Miti Moro

MSANII  wa filamu na mlimbwende maarufu nchini, Wema Sepetu, ‘Madam’ ambaye hivi karibuni ameipasua Bongo Muvi kwa kuhamia Chama cha...

READ MORE

Yanayojiri Kanisani Kwa Gwajima Leo Jumapili (+Mubashara Video)

AKIONGOZA ibada katika Kanisa lake la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat  Gwajima,  leo Jumapili,  amesema kuwa kilichotokea ni rasharasha  na...

READ MORE

Robert Mugabe Ndiye Kiongozi Mzee Zaidi Duniani, Mzee Mwinyi ni wa 42 Waliostaafu

Na WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAJUA WAJUA, NAKUJUZA ZAIDI KWA viongozi wazee zaidi duniani walioko madarakani, Rais Robert Gabriel Mugabe...

READ MORE

Alichokiandika Wema Baada ya Lema Kupata Dhamana

Leo Machi 03, 2017  Wema ameandika ujumbe baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, kutoa dhamana kwa Mbunge wa Arusha...

READ MORE

Lipumba Atinga Mahakamani, Atoa Neno Sakata la Madawa

Lipumba akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama Akitoka mahakamani Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayepingwa na baadhi...

READ MORE

Mahakama Yalizuia Jeshi la Polisi Kumkamata Mbowe

Mbowe na makada wengine wa Chadema wakitoka mahakamani Mbowe akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama.   Mwenyekiti Taifa...

READ MORE

EU Yamuongeza Muda Mugabe

ZIMBABWE: Umoja wa Ulaya(EU) umeongeza muda wa vikwazo kwa Rais Robert Mugabe na mkewe, Grace kwa mwaka 1 hadi Februari...

READ MORE

Vijana Msiache Sifa ya Ujasiri Iwe ya Paul Makonda Peke Yake

HADITHI: Na Eric Shigongo | IJUMAA WIKIENDA| KUMBUKUMBU ZA KWELI ZA MAISHA YANGU ILIKUWA ni wiki ya hekaheka, vyombo vyote...

READ MORE

Abdulkarim Karimjee: Spika wa Kwanza Mtanganyika

Na WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAJUA UNAJUA UKUMBI wa bunge uliokuwa unatumika jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Dodoma...

READ MORE

Raza Amuunga Mkono Rais Magufuli Vita Dhidi ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya

MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini Zanzibar Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mohammed Raza, leo amezunguamza na waandishi...

READ MORE

Mzee Mwinyi Aongoza Matembezi ya Skauti Dar

RAIS mstaafu ambaye pia ni Mdhamini wa Skauti Tanzania, Mzee  Ali Hassan Mwinyi,  leo ameongoza matembezi ya hisani (Charity Walk)...

READ MORE

BARUA NZITO: Salamu Zangu Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Na ERICK EVARIST| RISASI MCHANGANYIKO|TANGAZO/ BARUA NZITO BILA shaka u-mzima wa afya, kaka yangu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Kesi ya Lissu na Wenzake, Shahidi wa Jamhuri Atoa Ushahidi

DAR ES SALAAM: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imeanza kusikiliza ushahidi wa upande wa jamhuri juu ya mashtaka yanayowakabili...

READ MORE

Nionavyo Mimi ya Makonda ni Kama Hadithi ya Mwanakijiji

Na ELVAN STAMBULI| GAZETI LA UWAZI| NIONAVYO MIMI MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda  ameanzisha vita dhidi...

READ MORE

Joan Wicken: Mwingereza Aliyekuwa Msaidizi wa Nyerere

Na WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAJUA UNAJUA ALIKUWA ni mama kutoka Uingereza.  Ni marehemu Joan Wicken aliyekuwa msaidizi binafsi wa...

READ MORE

Dodoma: Kauli ya Jeshi la Polisi Kuhusu Kumkamata Zitto Kabwe Bungeni

DODOMA: Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe jana alijificha ndani ya ukumbi...

READ MORE

Kesi ya Lissu Yapigwa Kalenda Tena

Kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, leo imeshindwa kusikilizwa kwa mara nyingine kwenye Mahakama ya...

READ MORE

Video: Tundu Lissu Afungukia Hukumu ya Lijualikali, Aahidi Kumtetea

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (pichani mwenye kofia) ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Video: ACT Waitaka Serikali Ieleze Ukweli Nchi Imekumbwa na Njaa, Walalamika Kuchezewa Faulo Uchaguzi Mdogo

Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi ACT (katikati), akizungumza na waandishi wa habari.  Kulia ni Ester Kyamba, katibu...

READ MORE

ACT Wazalendo Kukutana na Wanahabari

Chama cha Alliance for Change Tanzania (ACT- Wazalendo), Alhamisi ya Januari 12, 2017, kitafanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia...

READ MORE

Kesi Inayowakabili Wabunge wa Chadema Yashindwa Kusikilizwa

Kesi inayowakabili wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee wa Kawe, Mwita Waitara wa Segerea na Saed...

READ MORE

Baadhi ya Sababu Zilizomfanya Donald Trump Kushinda

MAREKANI: ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Republican nchini Marekani, amefanikiwa kushinda nafasi hiyo dhidi ya mgombea wa Chama cha...

READ MORE

Wabunge wa Yanga kutifuana na wa Simba

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ilala,  Mussa Zungu, Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja na Mbunge wa Mbinga Mjini,...

READ MORE

Uingereza Lawamani Kwa Maauaji Ya Gaddafi

Ripoti ya kamati ya bunge nchini Uingereza imekosoa hatua ya Uingereza na Ufaransa kuingilia kati na kusaidia kuondolewa madarakani kwa...

READ MORE

Ripoti yabaini Rais kiir na Machar wanafaidika na vita

Rais Salva Kiir (kulia) na aliyekuwa makamu wake bwana Riek Machar  Waziri wa habari Sudan Kusini amesema kuwa serikali haitajibu...

READ MORE

Mbunge Haule: Vijana tumeonesha siasa siyo mchezo mchafu

Wiki iliyopita safu hii ilizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule, maarufu kama Profesa J na kuzungumza naye...

READ MORE

Tunaadhimisha mashujaa, je tunawakumbuka?

Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya tele na kuniwezesha kuandika haya leo. Leo nizungumzie sikukuu ya mashujaa ambayo...

READ MORE