The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Category

Uwazi

Gwajima; Halima Mdee Njia Panda

JIMBO la Kawe linawaka moto hivi sasa kwa kampeni za kukata na shoka, kati ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima…

Mr blue afungukia kuoa mke wa pili

MSANII wa Bongo Fleva, Kheri Sameer Rajab ’Mr Blue’ amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni pamoja na yeye kuoa na ana furaha ya kuwa na mke sahihi ambaye hawezi kumshawishi kuoa mke wa pili. Akizungumzia maisha ya ndoa, Blue…

FAGIO KALI CCM

HALI ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kinachounda serikali si shwari kutokana na kuwepo kwa madai kuwa, kuna baadhi ya makada wa chama hicho wanamhujumu mwenyekiti wao ambaye ni Rais Dkt. John Magufuli kuelekea uchaguzi mkuu…

DEREVA BAJAJ YAMFIKA MAZITO!

DEREVA wa Bajaj aliyefahamika kwa jina la Noel Razaro (30) kutoka Mtwara yamemfika mazito baada ya kupata ajali mbaya iliyomsababishia kupooza kuanzia kiunoni kwenda chini.  Akizungumza na Gazeti la Uwazi hivi karibuni,…