×

Uwazi

Viongozi Wadai: Maghorofa ya Mbunge Yageuzwa Chaka la Wakabaji!

Sauli Henry Amon. Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI Dar es Salaam: Majengo ya ghorofa zaidi ya sita ambayo hayajaendelezwa...

READ MORE

Kutumbuliwa kwa Kitwanga, Kicheko kwa Wauza Unga!

Na Mwandishi Wetu, UWAZI KUFUATIA kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga (pichani) wiki iliyopita, watu wanaojihusisha na...

READ MORE

Kijana: Nitafia Muhimbili kwa kukosa 200,000

Kijana Noel Lazaro akiugulia. DAR ES SALAAM: Kijana mmoja mwenyeji wa Kijiji cha Mangamba mkoani Mtwara, Noel Lazaro (26) amelalamika...

READ MORE

Usiku wa Ya Kale ni Dhahabu… Dar Live kuweka historia Muziki wa Taarab

Stori: Mwandishi Wetu MEI 21, mwaka huu, Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar utaweka historia...

READ MORE

Mama , Mtoto Watelekezwa Gesti!

 Recho Steven akiwa na mwanaye baada ya kutelekezwa. Na Gabriel Ng’osha, UWAZI Dar es Salaam: Wanaume katili! Mwanamke aliyejitambulisha kwa...

READ MORE

Naibu Waziri Kigwangala Azungumzia vipodozi feki

Wiki iliyopita tuliwaletea maswali na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamisi...

READ MORE

Undani wa Mauaji ya Watu 7 Sengerema

Eugenia Philipo enzi za uhai wake Na Johnson James, UWAZI MWANZA: Vilio, majonzi, simanzi na sintofahamu bado vimetawala kwenye Kitongoji...

READ MORE

Avimba Tumbo Miaka 21

Amina Ahmad. Na Imelda Mtema, UWAZI Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la  Amina Ahmad (45) mkazi wa Magomeni Chama jijini...

READ MORE

Madhara ya kupata mpenzi wa kulipa kisasi

NI Jumanne nyingine yenye neema ya Mungu. Kwa neema yake tunaishi,  kwa neema yake tupo na afya. Ni jambo la...

READ MORE

Ben Pol ‘amsapraiz’ Fid Q

Benard Paul ‘Ben Pol’ Stori: Mwandishi Wetu Mwanamuziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ hivi karibuni alimfanyia ‘sapraizi’ Mwanamuziki...

READ MORE

Kituo cha afya Mbagala chalalamikiwa

Kituo cha Afya cha Mbagala Rangi Tatu kilichopo wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, baadhi ya watumishi wake wamelalamikiwa kwa...

READ MORE

Aika, Nahreel washushuliwa

Aika na Nahreel wa Navy Kenzo. Stori: Boniphace Ngumije Kundi la muziki linaloundwa na wapendanao wawili Aika na Nahreel ‘Navy...

READ MORE

Vigogo Kutosafiri Nje ya Nchi… Ndege zaruka tupu!

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Na Elvan Stambuli, UWAZI DAR ES SALAAM: Tamko la Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’...

READ MORE

Mjumbe wa Nyumba 10 Afia Gesti!

  Shaibu Selemani Dadi ‘Babu Chinga’ enzi za uhai wake. Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Ni shetani...

READ MORE

Shoga; umeolewa zilipendwa wako wa nini?

Mambo vipi shoga yangu. Na kwa wewe Muislam umejiandaaje na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Baada ya salamu napenda...

READ MORE

Elewa faida lukuki za kula bamia

Chimbuko la bamia ni Ethiopia kisha ikaenea duniani kote. Unafahamu kwa kula bamia unaweza ukawa umejiondoa katika hatari ya kupata...

READ MORE

Kisukari kwa wajawazito

Ugonjwa wa kisukari kitaalam  unaoitwa Diabetes Mellitus hutokea pale tezi kongosho au Pancrease inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya...

READ MORE

Enoch Sontonga: Mtunzi wa Wimbo wa Taifa Tanzania

Mungu Ibariki Afrika ni jina la Wimbo wa Taifa wa Tanzania. Asili yake ni Wimbo wa Nkosi Sikelel’i Afrika wa...

READ MORE

Magonjwa Yanayoathiri njia ya Mkojo

NSU ni herufi zinazotumiwa kuelezea magonjwa ya bakteria yanayoathiri mfereji wa kupitisha mkojo yaani Urethra kirefu chake ni Non Specific...

READ MORE

Barakah Da Prince ampeleka Kiba Sauz

Barakah Da Prince Stori: Boniphace Ngumije MKALI katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’ amefunguka...

READ MORE

Mwonekano mpya eneo la Ubungo baada ya Machinga kuondolewa

Miti iliyokuwa imesimikwa kwa ajili ya kutundika nguo kama inavyoonekana. Eneo la Mataa ya Ubungo walipokuwa wakiuzia nguo machinga baada...

READ MORE

Usiku wa ya kale ni dhahabu… Bendi kongwe za Taarab kutikisa Dar Live

Stori: Andrew Carlos BENDI kongwe za Muziki wa Taarab zikiwemo TOT, Zanzibar Modern, Muungano na nyingine kibao zinatarajiwa kukutana pamoja...

READ MORE

Walokole Wazichapa Laivu, Kisa Penzi

Timbwili likazua balaa. Stori: Francis Godwin, UWAZI IRINGA: ‘Jaribu la mtu si kwamba kaomba, bali ni kikombe tu lazima akinywe’,...

READ MORE

Mch Afunguka Kuhubiri Juu ya Migongo ya Waumini

Mchungaji Berthania Simon akihubiri huku akiwa amepanda juu ya migongo ya waumini. Stori:  Gabriel Ng’osha, UWAZI DAR ES SALAAM: Yule...

READ MORE

Mbunge Nusura… Akamatwe na ‘unga’ Dar

Kamanda wa Kitengo cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya, ACP Mihayo Msikhela Na Makongoro Oging’, UWAZI Dar es Salaam:...

READ MORE

Mbongo Anaswa na Unga wa Bil. 10

Herry Mussa Yangealiyenaswa na ‘unga’. Stori:  Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Hii ni funga kazi sasa! Kuna habari kwamba,...

READ MORE

RPC Apiga Marufuku ‘Vigodoro’

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ACP Bonaventura Mshongi Stori: Makongoro Oging’, UWAZI PWANI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,...

READ MORE

Denti sekondari ala viboko, ajeruhiwa

Eluedi Misheto akiwa hospitali baada ya kujeruhiwa na mwalimu huyo. Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’, UWAZI PWANI: Wanafunzi wa...

READ MORE

Wabunge: muungeni mkono Rais Magufuli kuwabana mafisadi

Spika Job Ndugai. MUNGU ni mwema na ndiyo maana tupo hai leo kwa neema yake. Baada ya kusema hayo niwasihi...

READ MORE

Binti miaka 19 awa gumzo kazi ya mochwari (Stori+Video)

Sabrina Gharib  binti anayefanya kazi kwa vitendo kimasomo  kwenye Mochwari  ya Hospitali ya Rufaa ya Tumbi Kibaha mkoani Pwani. Stori: Elvan...

READ MORE

Hofu yatandaa Shkuba kutoroka gerezani

Ali Khatib Haji ‘Shkuba’. Stori: Hashim Aziz na Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Kufuatia kuendelea kushikiliwa kwa kigogo anayedaiwa...

READ MORE

Kova aibuka sakata la Lugumi

Kamanda Mstaafu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Stori: Ojuku Abraham, UWAZI DAR ES SALAAM: Kamanda...

READ MORE

Akiona ukweni akigombea maiti ya mkewe!

Kisika Wambura akiwa na simanzi baada ya kufiwa na mkewe. Stori:  Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Mkazi wa Kijiji cha Mwikoro,...

READ MORE

Mawaziri 11 watekwa na magaidi

Hebu vuta picha! Mawaziri kibao kutoka nchi mbalimbali duniani pamoja na wadau wengine, wapo kwenye mkutano muhimu wakijadiliana kuhusu mambo...

READ MORE

Dayna Nyange amuonea wivu Roma

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’. Stori: Boniphace Ngumije MWANADADA anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Bongo...

READ MORE

Moto Wateketeza Jiji Zima la London

Jiji Zima la London lilivyoteketea kwa moto. Hebu vuta picha! Moto unaanzia kwenye jiko moja la kuchomea mikate kisha unashika...

READ MORE

Shinda Nyumba… Mshindi wa king’amuzi atoboa siri ya ushindi

Stori: Andrew Carlos, UWAZI MSHINDI wa king’amuzi cha Ting katika Droo ya Tatu ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa...

READ MORE

Bella azungumzia kifo cha Ndanda Kosovo ‘Kichaa’

Stori: Boniphace Ngumije MKALI wa masauti Christian Bella ‘Obama’ amefunguka kuwa ameumizwa sana na msiba wa msanii mkongwe kwenye gemu...

READ MORE

Forojo Ganze; Mwanzilishi wa Mwenge wa Uhuru

Ipo siri kubwa kuhusu Mwenge wa Uhuru ambao hukimbizwa nchi nzima. Wapo wanaodhani kwamba aliyeleta mabadiliko katika nchi kwa kuanzishwa...

READ MORE