×

Uwazi

UKISTAAJABU YA KANUMBA , MAJUTO UTAYAONA YA MAVOKO NA WCB

BASATA si jina geni Bongo kwa sababu ya urafiki wake wa karibu na wanasanaa wote Bongo na ndiyo maana kirefu...

READ MORE

AY ATOBOA SIRI KUISHI MAREKANI

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’, ambaye wimbo wake wa Microphone aliomshirikisha Fareed Kubanda ‘FID Q’...

READ MORE

FAHAMU SABABU ZA KUWA NA U.T.I SUGU

MAAMBUKIZI kwenye njia ya mkojo ( Urinary Tract Infection kifupi U.T.I) ni maambukizi yanayoshika nafasi ya pili kuupata mwili mara...

READ MORE

MAZITO YAFUMUKAA JALI ZA VIONGOZI

SIKU chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla kuje­ruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Mdori mkoani...

READ MORE

REKODI 4 Z A DC JOKATE HIZI HAPA

  JULAI 28, mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimteua aliyekuwa mshindi wa...

READ MORE

KIJANA ASIMULIA SIKU ZAKE 335 ZA MATESO NA MACHOZI

HUJAFA hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema, pindi unapomuona, dereva wa basi aliyefahamika kwa jina la Peter Mbwana (pichani), mkazi wa Machimbo-...

READ MORE

HIZI NI HATARI SITA ZA KUTOA MIMBA

HII ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake. Kutokana kuongezeka kwa idadi...

READ MORE

SABABU MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA UZAZI

LEO tutaelezea kuhusu mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy . Hili ni ni tatizo...

READ MORE

RAIS JPM AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MAMA YAKE SHIGONGO

BADO huzuni, vilio na majonzi vimetanda kwenye familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group, Eric Shigongo, baada ya...

READ MORE

ENEO HATARI UPORAJI BAJAJ LATIKISA

HUWEZI kuamini, eneo la Msasani Bonde la Mpunga ambalo ni makazi ya watu wenye nazo kutokana na hali inayojidhihirisha ya...

READ MORE

FUMANIZI LA DENTI, RAIA WA KIGENI LAFYATUKA

AMA kweli duniani kuna watu wasiosikia ambao kwa hapa nchini wanamchezea sharubu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk...

READ MORE

BILL NAS ASHINDWA KUPATA MBADALA WA NANDY

HITMAKER wa Ngoma ya Labda, William Lyimo ‘Bill Nas’ amefunguka kwamba anatamani sana kuwa kwenye uhusiano lakini kinachomfanya mpaka sasa...

READ MORE

MALIMA ATAJA SABABU MISAFARA YA VIONGOZI KUTEGEWA MAWE !

MKUU wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (pichani) ametaja eneo hatari kwa viongozi na sababu za viongozi wa kitaifa akiwemo...

READ MORE

UWOYA, MOBETO SAWA! WENGINE JE?

LIKO wazi kwamba siku hizi imekuwa kama fasheni kwa mastaa Bongo hata wasio mastaa kupiga picha za utupu na kuposti...

READ MORE

LULU DIVA AWEKA WAZI KILICHOBADILI MAISHA YAKE

MWANADADA Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amebonga kwamba miongoni mwa vitu vilivyombadilisha maisha yake hasa kwenye gemu la Muziki ni wimbo...

READ MORE

HUKUMU YA KIFO YA NAURA, RUTH NA SHERIA ZETU

RUTH Kamande na Naura Hussein wote wamehukumiwa na mahakama kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji ya wapenzi wao. Ruth...

READ MORE

LUNGI ANUSURIKA KUCHINJWA

DAR ES SALAAM: Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga hivi karibuni alionja joto ya jiwa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake...

READ MORE

‘I LOVE YOU’ NYINGI ZA NINI? UKIPENDA ONESHA MATENDO!

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili...

READ MORE

MTOTO MBARONI KIFO CHA MAMA YAKE!!

SHINYANGA: Kijana Ngassa Mathias (24), mkazi wa Kitongoji cha Kiloleli, Kijiji cha Ilebelebe, Kata ya Itilima, Wilaya ya Kishapu amekamatwa...

READ MORE

GLOBAL WALIVYOTOA SHUKRANI KWA MAVENDA, WASOMAJI WAKE

JUMAPILI ya juzi, Julai 15 ilikuwa ni siku ya burudani mwanzo mwisho kwa wakazi wa Jiji la Dar wa Salaam...

READ MORE

HIVI NDIVYO ‘HAUSIBOI’ ALIVYOMCHINJA MTOTO WA BOSI WAKE

DAR ES SALAAM: “Mwanangu amechinjwa kikatili jamani, kwani kamkosea nini mpaka amuue kikatili, naumia jamani, moyo wangu umejeruhiwa, Prosper sitamuona...

READ MORE

MR BLUE ATAJA NCHI ALIOKIMBILIA

BAADA ya kutoonekana kwa muda hususan kwenye shoo ndani ya Bongo, rapa mkongwe kutoka kiwanda cha Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

MUVI YA CHEMICAL, WEMA YAZUA JAMBO

HIVI karibuni rapa wa kike kunako Muziki wa Bongo Fleva, Claudia Lubao ‘Chemical’, aliweka kwenye Mtandao wa YouTube, vipande vya...

READ MORE

KANGI LUGOLA ASHTUKIWA!

DAR ES SALAAM: Waziri wa sasa wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameshtukiwa na baadhi ya wananchi kutokana...

READ MORE

DENTI MORO ABAKWA, ASHONWA NYUZI 7

MOROGORO: Binti wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kisanga (jina linahifadhiwa) mkazi wa Msolwa, Kata ya Kisanga, Mikumi...

READ MORE

Ajali ya Lori, Hiace 3, Mbeya Dakika 20, Vifo 20

HUU ni msiba msiba mzito! Ndivyo uavyoweza kusema kufuatia ajali iliyoababisha vifo vya watu 20 ambavyo vimetokea ndani ya dakika...

READ MORE

Aliyedaiwa Kuuawa na Mumewe Aibuka!

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Kijiji cha Mwibagi kilichopo Kata ya Kyanyari, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wamepigwa...

READ MORE

JANJARO: NDOA IMEFANYA MUZIKI WANGU KUWA MURUWAAA

MUZIKI bwana! Miaka ya 2000 katikati waliibuka wasanii wengi wadogo kiumri, walikuwa na uwezo katika kuimba na kurap lakini kutokana...

READ MORE

MASTAA BONGO; UMRI UNAKWENDA, WANARUDI KUISHI KITOTO

KWETU akiwepo mtu mwenye umri mkubwa halafu akawa anazungumza na kufanya mambo ya vijana, malipo yake ya kwanza huwa ni...

READ MORE

MAMA MLEMAVU AFANYIWA UKATILI!

AMA kweli watu wamekosa utu! Mama mmoja aliyetambulika kwa jina la Fatuma Hamis hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada...

READ MORE

Dili la Kobe 536 Latibuka

DODOMA: Jeshi la polisi kwa kushirikiana na askari wa idara ya wanyamapori jijini Dodoma wameharibu dili kwa kukamata kobe 536...

READ MORE

King Majuto Tumuombe! – Video

TUMUOMBEENI! Mungu afanye uponyaji kwa mzee wetu. Ndiyo kauli inayozungumzwa na Watanzania wengi waliomuona mkongwe wa vichekesho, Amri Athuman ‘King...

READ MORE

Fahamu Mtoto wa Miezi 6-12 Anapaswa Kula Nini

LEO tunazungumza na walezi hasa wenye watoto wachanga wa kuanzia siku moja hadi miezi sita ya kwanza. Katika maisha, mtoto...

READ MORE

Msalaba wa Banana na Gumzo kwa Mashabiki

MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Banana Zorro amezua gumzo usiku mnene ukumbini baada ya kuonekana akiwa ametinga msalaba shingoni...

READ MORE

Pikipiki ya Kwanza Global Kuondoka Leo

LEO ndiyo leo kwani msomaji mmoja wa Magazeti ya Global Publishers anatarajiwa kujishindia zawadi ya pikipiki ikiwa ni moja kati...

READ MORE

Hiki Ndicho ‘Kinachokula’ Afya ya Ruge na Seth

DAR ES SALAAM: Walipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Juni 19, 2017, Harbinder Seth na James Rugemalira, wengi walishtuka; ‘hee!...

READ MORE

Mama Amvaa Mchungaji, Asambaratisha Ndoa ya Bintiye Kanisani

DAR ES SALAAM: Vuta picha bibi harusi ameshavaa shela, bwana harusi ameshatinga suti yake matata kabisa, wameshaingia madhabahuni kanisani, tayari...

READ MORE

RIPOTI KAMILI: Vituo vya Masaji Dar Kugeuzwa Madanguro

KWA wasomaji wa gazeti la jana linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers la Ijumaa Wikienda, watakuwa wanaelewa nini ambacho tumeamua...

READ MORE

SHKUBA, WENZAKE WAHENYA KORTINI ‘KWA TRUMP’

  DAR ES SALAAM: Wakati vita ya kupambana na madawa ya kulevya ikionekana kufanikiwa kwa kiasi flani hapa nchini, taarifa...

READ MORE

TRA Yaanza Kuonesha Makali kwa Wasiodai Risiti

DODOMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeonesha ukali wake kwa wasiodai risiti kwa kumtoza faini dereva mmoja wa bodaboda baada...

READ MORE