Chuo Kikuu cha St. Joseph Tawi la Arusha chafungwa

Uongozi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph Tawi la Arusha umeamua kukifunga chuo hicho baada ya kuwepo kwa vurugu za mara kwa mara zinazovuruga amani na mazingira bora ya elimu.

Katika taarifa iliyotolewa na mkuu wa chuo hicho leo, ni kwamba kutokana na vitendo hivyo vyenye uvunjifu wa amani imeonekana ni bora kukifunga chuo hicho kwa muda usiojulikana.

Aidha mkuu huyo wa chuo amewataka wanafunzi kurudi nyumbani kwao na kuendelea kufuatilia katika mgazeti na tovuti ya chuo kujua ni lini chuo kitafunguliwa tena.

Ifuatayo ni taarifa iliyotolewa na mkuu wa chuo hicho leo Februari 24, 2016

ST
Toa comment