The House of Favourite Newspapers

VAILETH BUKUMBI — DADA WA SHIGONGO — AZIKWA SENGEREMA LEO

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umezikwa  leo Ijumaa, Juni 21, 2019, nyumbani kwao katika Kijiji cha Bupandwamhela, Buchosa – Sengerema mkoani Mwanza.

Mazishi hayo yamehudhuliwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Buchosa, Mkurugenzi wa Kamanga Ferry Ltd, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Sengerema, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Dkt Philemon Sengati.

 

Comments are closed.