The House of Favourite Newspapers

Diamond, Tanasha Waonesha Mabunda ya Pesa, Mwanza -Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platinumz, leo

kupitia ukurasa wake wa Instagram ameposti kipande cha video akiwa anapanga mezani mabunda ya pesa huku mpenzi wake mpya Tanasha Donna Barbieri Oketch lakini pia wakati mwingine kwenye mitandao ya kijamii hujiita Zahara Zaire akiwa bize na simu.

Diamond na Tanasha bado wapo Mwanza na haijafahamika fedha hizo ni kiasi gani? lakini kwa mahesabu ya haraka haraka ni zaidi ya Milioni 100.

 

View this post on Instagram

 

from @diamondplatnumz – The Life of Lion……..#WorkingTime #MudaWaKazi ….. @tanashadonna @wag__hill @officialbelaire

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.