The House of Favourite Newspapers

DJ SBU ATUA GLOBAL RADIO, AZINDUA KIPINDI ‘AFTERNOON DRIVE’ (PICHA +VIDEO)

DJ Sbu ambaye jina lake kamili ni Sbusiso Leope akizindua kipindi cha ‘Afternoon Drive’  kinachoruka kupitia  +255 Global Radio leo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam.

DJ Sbu ambaye jina lake kamili ni Sbusiso Leope ni mmoja kati ya Ma-DJ  wakali Afrika Kusini kutoka katika Jiji la Johannesburg,  Jumanne, Agosti 6, 2019, ametua katika studio za Global Radio Sinza-Mori jijini Dar es Salaam  kuzindua kipindi cha ‘Afternoon Drive’  kinachoruka kupitia  +255 Global Radio.

Kipindi hicho kimezinduliwa live pia kupitia redio ya Masiv Metro ya jijini Johannesburg Afrika Kusini.

Kusikiliza live habari nzima, bonyeza link hii mbele +255 Global Radio

…Akiendelea kutangaza.
Akiwa na watangazaji wa Bongo 255, Stewat George (kushoto), Sechelela Mazanda na Rashid Mbegani (kulia).
…Akiwa ndani ya Studio za +255 Global Radio kabla ya kuanza kipindi.
…Akiwa na Sechelela Mazanda, Mtangazaji wa Bongo 255.
…Akiwa na DJ Ashlee, mmoja wa MaDJ bora kabisa kutoka +255 Global Radio.
…Akiwa nje ya Studio za +255 Global Radio

Mamilioni ya watu hivi sasa wanaaangalia TV na kusililiza Radio mtandaoni, tumewarahisishia kuwaletea uhondo huko huko. #NAWESTUKA! #GlobalRadio #GlobalTVOnline

Comments are closed.