The House of Favourite Newspapers

DOGO JANJA AMPA MAMA YAKE ZAWADI YA MAMILIONI (PICHA)

Msanii Dogo Janja amemzawadia zawadi ya bei ghali mama yake mzazi toka arusha, ikiwa ni miaka miwili imepita tangu baba yake mzazi afariki dunia.

 

Dogo janja amemzawadia mama yake zawadi ya nyumba kubwa ambayo ameielekeza kama zawadi ya kumfuta machozi mama yake.

 

 

Dogo janja yupo mkoani Arusha wakati huu na ameweka post yenye picha katika akaunti yake ya instagram iliyo na maelezo, “Wakati my dad anaondoka nilijua nimeuvaa ubaba niliapa kukufuta machozi. Leo ni mwaka wa pili baba hayupo nimekuliwaza mamaangu, baraka zako, malezi yako, kazi za mikono yangu zitakufanya uwe malkia wangu daima.Nakupenda sana mamaangu.This small one is for u mama,the queen of my heart”.

 

Comments are closed.