The House of Favourite Newspapers

Dude Awawakia Wanaomshambulia

Kulwa Kikumba ‘Dude’

STAA wa Filamu za Kibon­go, Kulwa Kikumba ‘Dude’ inaonekana aliwakera baadhi ya watu baada ya kutupia picha akiwa anasali na kuamsha mashambulizi.

Akionesha naye anajua kuwaka kwa hoja kuwa­jibu waliomuona ameteleza, aliiambia Za Motomoto News kuwa alifanya hivyo ili kuwashawishi wengine kumcha Mungu.

“Watu huwaona wasanii kama siyo wacha Mungu, kupiga picha nikifanya ibada kinawa­kumbusha wafuasi wangu wenye imani kama yangu ya Kiis­lamu kumkumbuka Allah,”alisema Dude.

Comments are closed.