The House of Favourite Newspapers

Dudu Baya Afunguka Kumtwanga Juma Lokole – Video

RAPA maarufu Bongo asiyeishiwa vituko, Goodfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ amefunguka kuhusu sakata lake la kuitwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kupewa kalipio kuhusu masuala ya kupost na kuongea vitu ambavyo vinakiuka maadili.

 

Dudu Baya amekiri kuhusu kumshushia kipigo Juma Lokole kutokana na kipand cha video kinachosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akimshushia kipigo jamaa huyo.

 

Comments are closed.