The House of Favourite Newspapers

DW Yaeleza Kifo cha Gamba Kilivyotokea Hadi Maiti Ilipokutwa – Video

NAIBU Mkuu wa DW, Mohammed Abdurahaman ameeleza kifo cha Mtangazaji Mwenzao Isack Gamba ambapo alikutwa chumbani kwake akiwa amefariki.

Abdulrahaman amesema Gamba alikuwa ni mcheshi na kubwa zaidi katika kutangaza kandakanda ligi Kuu ya Ujermuani Bundesliga alioyesha umahiri wake.

TAZAMA VIDEO AKIFUNGUKA

Comments are closed.