The House of Favourite Newspapers

EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE

Makapu ya sikukuu yakiwa tayari kukabidhiwa kwa washindi.
Washindi wa kapu la sikukuu wakiwa katika picha ya pamoja na zawadi zao ambazo ni kapu lenye kila aina ya chakula ndani pamoja na king’amuzi cha DSTV.
Kutoka kulia Mkuu wa mawasiliano DSTV Tanzania Mr. Johnson Mshana akielezea jambo kwa mshindi alipokua akikabidhi zawadi.
Meneja matukio wa efm redio jesca mwanyika (kushoto)pamoja na mkuu wa mawasiliano DSTV(kulia) wakikabidhi zawadi kwa mshindi wa kapu.
Washindi wa kapu kutoka 91.3 Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na muwakilishi kutoka Efm redio Emanuel Meshack (wa kwanza kushoto).

Katika kusheherekea sikukuu ya krismasi EFM redio imetoa zawadi ya kapu la siku kuu kwa wasikilizaji wake lililosheheni mazagazaga ya chakula pamoja na king’amuzi cha DSTV katika mikoa ya Dar es salaam , Pwani, Mwanza,  Mbeya, Mtwara, na Tanga ikiwaa ni ishara ya kuwajali na kuwathamini katika kipindi hiki cha sikukuu.

Jumla ya makapu yaliotolewa ni 25 kwa mikoa yote ambapo washindi wa kapu hilo walipatikana kupitia maswali yaliokua yakiulizwa katika vipindi tofauti vya redio.

Comments are closed.