The House of Favourite Newspapers

Eric Shigongo Kuwapa Mbinu Mpya Wajasiriamali Leo

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo,  leo atakuwepo kwenye  Semina ya Ujasiriamali itakayofanyika katika kanisa la Agape Life lililoko Mbezi Beach-Jogoo jijini Dar es Salaam ambapo atafundisha njia mbalimbali za kufanikiwa kimaisha.

Semina hiyo ambayo itaanza saa tisa kamili jioni si ya kukosa, na itapambwa na  waimbaji mbalimbali watakaokuwepo hapo.

Comments are closed.