The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: Kijana Atengeneza GARI la UMEME – Video

Unaweza usiamini lakini ni ukweli usiokuwa hata na chembe ya uongo kuwa kijana, Gabriel Jeremiah, ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) Kilichopo Mabibo jijini Dar, amefanikiwa kutengeneza gari inayotumia umeme badala ya mafuta.

 

Global TV imefanya mazungumzo na Gabriel ambay amefafanua namna alivyoweza kutengeneza gari hilo ambayo ikijaa chaji ina uwezo wa kukimbia umbali wa kilomita 90.

MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.