The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE VIDEO: KUTANA NA WATOTO WAIGIZAJI, WANA KIPAJI BALAA!


KIPAJI Ni Hazina, haijalishi mwenye kipaji ni mtoto au mkubwa, lakini tu mtu mwenye kipaji anatakiwa kupewa sapoti kubwa ili kukikuza kipaji chake..

Video hii inakuonesha watoto wawili wenye vipaji vya kuigiza, ambapo walezi wao wamezungumza na Global TV na kuwaomba wasanii, wadau wa filamu na kila mmoja kwa nafasi yake kuwasapoti watoto hao ili dunia iweze kufahamu kipaji chao.

Comments are closed.