The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: MUNA LOVE Kwenye Daughter of Zion – Video

ALIYEKUWA muigizaji wa filamu nchini kabla ya kugeukia mambo ya Injili, Muna Love, amekuwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria katika Tamasha la Daughter of Zion, leo Ijumaa, Machi 16, 2019 lililofanyika katika Ukumbi wa Cardinal Rugambwa, St. Peters jijini Dar es Salaam.

 

Tamasha hilo limeratibiwa na Nabii Trizah wa huduma ya Rhema the Faithful ambapo mwanamuziki mkubwa wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria, Steve Crown na waimbaji wengine kutoka hapa Tanzania, akiwemo Angel Magoti pamoja mwimbaji chipukizi, Catherine Kimaryo wamepiga gospo za kutosha.

MSIKIE MUNA ALICHOZUNGUMZA

Comments are closed.