The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: ODAMA Amfungukia Aliyemzushia Kifo – Video

MAMBO yalikuwa fire usiku wa Septemba 28, kufuatia muigizaji nguli Bongo, Wema Sepetu kusheherekea kumbukumbuku ya siku yake ya kuzaliwa katika Ukumbi wa Mlimani City ambapo pia amezindua filamu yake yake ‘Day After Death’ aliyomshirikiana na staa wa filamu kutoka Ghana, Van Vicker.

 

Moja kati ya mastaa waliojitokeza kwa ajili ya kumsapoti Wema ni muigizaji mwenziye Jeniffer Kyaka maarufu kama ‘Odama’ ambaye amepiga stori na Global TV na kuelezea kuhusiana na sakata la kuzushiwa kifo.

VIDEO: MSIKIE ODAMA AKIFUNGUKA

Comments are closed.