The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Sherehe ya Kuchumbiwa Wolper Usipime, Picha Zote Bofya Hapa

Wolper na mchumba wake, Engine.

SHEREHE ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake baada ya muoaji kufanya kufuru ya aina yake, Amani linaripoti habari hii kwa mara ya kwanza (exclusive).

Sherehe hiyo iliyohusisha msafara mkubwa wa magari kutoka jijini Dar, ilifanyika Moshi, wikiendi iliyopita nyumbani kwa bibi yake kijijini Moshi.

Ili kutazama picha zote za tukio zima la kuchumbiwa kwa Wolper na mpenzi wake, Sadiki Athanasy Sanga ‘Engine’, ingia kwenye Application yetu ya Global Publishers sehemu ya magazeti.

Kama Huja-download fanya hivyo sasa, install kwa kupitia hizi Link uzitazame picha zote za kuchumbiwa kwa Wolper.

Android: Plays Store ==> 

iOS: AppStore ==> 

Comments are closed.