The House of Favourite Newspapers

EXCLUSVE: MCHUMBA WA WEMA AKWAA SKENDO NYINGINE NZITO, ASAKWA KILA KONA

JESHI la Polisi nchini linamsaka mchumba wa Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu anayefahamika kwa jina la PCK raia wa Burundi baada kusambaa mitandaoni kwa video za wapenzi hao wakipeana mahaba.

  • Mbali na video hizo, PCK anasakwa pia kwa kumtapeli kigogo mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina limehifadhiwa).
  • Pia aanhusishwa na biashara haramu ya madawa ya kulevywa.
  • Atajwa kwa biashara ya video za ngono Bongo.
  • Awafanyia ‘ushenzi’ mastaa kibao.
  • Abanwa na RISASI JUMAMOSI, afunguka.
  • RPC Mambosasa atoa kauli.

Kupata undani wa exclusive hii, pata nakala yako ya Gazeti la RISASI JUMAMOSI leo kwa Tsh. 300 kupitia application yako bora #GlobalPublishersApp, install sasa ufurahie…!

 

Ndani ya App hii utaweza kuyasoma magazeti yote ya #GlobalPublishers yakiwemo Ijumaa, Amani, Ijumaa Wikienda, Uwazi, Championi, Spoti Xtra na Risasi Mchanganyiko.

Global Publishers App

Android ===> Play Store

iOS ===> 

Comments are closed.