The House of Favourite Newspapers

Fuatilia Spoti Hausi leo Saa 10:00 Jioni Kuhusu Okwi Kugoma Kucheza Simba

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi.

 

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama wachambuzi wa kipindi hiki, watakuchambulia yafuatayo:-

  1. Okwi kugoma kucheza Simba
  2. Dili la Sanchez na faida kubwa kwa Arsenal
  3. Udhamini wa Yanga kutoka Macron ni utata mkubwa
  4. Ngoma hajawahi kufanya lolote Yanga
  5. Okwi afungukia anachowafanya Siginda
  6. Uongozi Yanga ungegoma kumsajili Ngoma.

Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Comments are closed.