
Mkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo,Uongozi na Wafanyakazi wa Global Groups wanawatakia wasomaji wetu kote nchini na nje ya Tanzania Krismasi Njema, yenye upendo na Amani. Mwenyezi Mungu awabariki muweze kuanza mwaka mpya mkiwa na afya njema na muwe na mafanikio tele.


Comments are closed.