The House of Favourite Newspapers

GLOBAL YATOA TAMKO UPOTOSHAJI WA ‘CAPTION’ YA PICHA INSTA

Kuna picha inayosambaa ikiwa kwa lugha ya Kingereza kuhusu picha hii.  Post hiyo siyo halisi bali imechezewa na watu kwa kubonyeza kitufe cha ‘SEE TRANSLATION’ kwenye ukurasa wa Instagram. Picha halisi na maelezo yake yameandikwa kwa Kiswahili na hakuna popote ambapo ina maandishi ya Kingereza.

Hivyo wanaoendelea kusambaza post yenye maneno ya Kingereza watachukuliwa hatua za kisheria kwa kuwa tafsiri yake inapingana na uhalisia wa maneno ya Kiswahili yaliyoandikwa na Global Publishers kwenye page yake ya@globalpublishers.

Comments are closed.