The House of Favourite Newspapers

CHUKUA HII YA UTAKAtifu kuTOKA KWA KODAK BLACK

IKIWA ni takribani miezi tisa tangu Rapa Bill K. Kapri maarufu kwa jina la Kodak Black aachie albamu yake ya mwisho Heart Break Kodak aliyoitoa February 14, 2018, msanii huyo ametangaza Good News kwenye carrier yake hiyo.

 

Kodak Black amesema hivi karibuni ataachia albamu mpya ya Funga Mwaka ambapo kupitia akaunti yake ya Tweeter ameweka picha huku ameshika pesa na malezo yaliyosoneka, “Nafanya kila kitu mtaa ulichonitukuza, albamu yangu itatoka mwezi ujao (Desemba, 2018).

 

Albamu hiyo mpya ya Kodak Black inaitwa Dying To Live na natarajiwa kuingia sokoni Desemba 14, mwaka huu.

 

Baadhi ya ngoma zilizomo kwenye albamu hiyo ni ZEZE, Take One na If I’m Lyin ambazo amewashirikisha wasanii kama Bruno Marsmna wengine.

BEKA FLEVA: Nilihaso Sana Kukutana na Mkubwa Fella

Comments are closed.