The House of Favourite Newspapers

HAIJAWAHI KUTOKEA, TSH. 800/= TU INAKUPA PIKIPIKI MPYAAA!

#TusuaMaishaNaGlobal,☝🏿 mambo ni moto…🔥🔥🔥 🔥 Global Publishers kama kawaida yetu tunaendelea kujujali msomaji wetu… baada ya kutoa nyumba mpya na samani zake ndani kwa wasomaji wetu kwa miaka miwili mfurulizo, hatimaye tena msimu huu tumekuja kivingine, kidigitali zaidi.

 

Kwa shilingi 800/= kwa magazeti yetu mengiune 1000/= kwa gazeti la Ijumaa, sasa tunakupa zawadi kibao kila wiki zikiwemo pikipiki KIBAO, ada ya mwanao ya shule, dinner set na nyingine ngingi, kushinda ni rahisi sanaaaa, nunua gazeti lolote la #GlobalPublishers.

Linaweza kuwa ni la #Uwazi#Amani#Ijumaa#IjumaaWikienda#RisasiMchanganyiko#RisasiJumamosi#Championi#SpotiXtrakisha shiriki shindano la #TusuaMaishaNaGlobal kwa kufuata maelekezo yaliyopo kwenye ukurasa wa pili. Hujachelewa bado, shiriki leo hii hii uondoke na pikipiki mpyaaaa.

 

Namba inayotumika kupokea ujumbe wa simu (Meseji) ili uweze kushiriki kwenye Shindano la TUSUA MAISHA NA GLOBAL ni 0719 386 533. 

 

GOOD NEWS Global Publishers Yaja na Promosheni Kabambe

Comments are closed.