The House of Favourite Newspapers

Hapa kazi tu!

1Katapila likitindua mchanga katika harakati za upanuzi huo.
2… likimwaga kifusi katika lori la mchanga.
3…likiendelea kupiga mzigo.

Kufuatia agizo la Rais Magufuli la pesa zilizokuwa zitumike katika sherehe za Uhuru zisaidie upanuzi wa Barabara ya Mwenge hadi Moroco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 tayari kazi hiyo imeanza mara moja.

(PICHA NA ISSA MNALLY)

Comments are closed.