The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Shamsa Ford

Muigizaji anayefanya vizuri Bongo Muvi, Shamsa Ford.

LEO ni siku muhimu sana kwa muigizaji anayefanya vizuri Bongo Muvi, Shamsa Ford ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kitengo cha Global Digtal tunakutakia heri ya kuzaliwa.
Tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Happy Birthday Shamsa Ford!

Comments are closed.