The House of Favourite Newspapers

Hatari… Kylie anunua na mjengo wa bil. 13

0

1427382910_kylie-jenner-zoomSTAA wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kylie Jenner amenunua mjengo mpya pande za Calabas, California wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 13.

Kylie ambaye pia ni mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian amenunua mjengo huo kwa kuongezea pesa kutoka mjengo wa zamani aliokuwa akiishi uliokuwa na thamani ya shilingi bilioni tatu.

Mjengo huo ambao upo karibu na kwa mama yake, Kris na dada yake, Kim Kardashian una vyumba sita, bafu saba, eneo la kuogelea na vingine vingi.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

Leave A Reply