The House of Favourite Newspapers

HATIMAYE AGNES Afungukia Mimba ya Mbasha – Video

HATIMAYE mbivu na mbichi zimefahamika baada ya Video Vixen na msanii wa bongo anayedaiwa kupewa ujauzito na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, Agnes Mmasi kufunguka kuhusu ujauzito aliyo nao na kumuanika mwanamume mweye hati miliki ya mimba hiyo.

Akipiga stori na Global TV Online, Agnes amesema mmiliki wa ujauzito aliyo nao anaitwa Mbasha lakini ni Mbasha asiyefahamika.

Agnes amedai licha ya kurushiana na maneno mitandaoni na Emmanuel Mbasha, bado wanapendana na kwamba ni kaka yake wa kiroho na endapo kungekuwa na tatizo kati yao basi angekuwa ameshampigia simu kumweleza na si kukimbilia mitandaoni.

“Mbasha ni mwanamume, ana haki ya kupendwa, mimi nampenda Mbasha hata yeye anafahamu,” alisema Agnes ambaye mkononi mwake amechorwa tattoo iliyoandikwa jina la Mbasha.

 

VIDEO: MSIKIE AGNES AKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.