The House of Favourite Newspapers

Kauli ya Mobeto Kuhusu Ndoa Yake na Diamond Hivi Karibuni- VIDEO

MSANII  wa filamu nchini na ambaye pia ni model, Hamisa Mobeto amefunguka baada ya kuhojiwa kuhusu tetesi za mipango ya ndoa yake na mzazi mwenzake ambaye ni staa wa Afro Pop, Diamond Platinumz na kusema mwenye majibu sahihi kwa sasa ni Diamond.

 

Hayo ameyasema usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City wakati wa mahojiano na Global TV Online kwenye uzinduzi wa Short Film ya MAMA iliyoandaliwa na msanii Aunt Ezekiel.

 

Aidha, Mobeto amethibisha kurudiana na Diamond kama ambavyo taarifa zilizkuwa zikisambaa mitandaoni, ambapo pia amesema kurudiana kwao kumetokana na uvumilivu wake.

 

VIDEO: HATIMAYE IMETHIBITISHWA, DIAMOND NA MOBETO WAMERUDIANA

Comments are closed.