INATISHA! Auawa kwa SUMU na Kuporwa MILL 55 – Video

MFANYABIASHARA ambae pia ni Mkulima wa zao la Ufuta wakazi wa Kijiji cha Ifumbo wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya wamedaiwa kuuwawa kwa kutumia kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu kisha kuchukua shilingi milioni 55.

 

Wakizungumza na wandishi wa habari ndugu wa Marehemu wakati wa uchukuaji mwili katika Hospitali ya Kanda ya Rufaa ya Mbeya, wameliomba Jeshi la Polisi kuwasaidia kwa kuwa wanapata vitisho kutoka kwa marafiki wa watuhumiwa.

INATISHA! Auawa kwa SUMU na Kuporwa MILL 55

Loading...

Toa comment