The House of Favourite Newspapers

IYOBO ASISITIZA; SEMENI YOTE, NAMUOA AUNT

DANSA maarufu anayepiga mzigo na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo ameweka wazi kuwa hawezi kusikiliza maneno ya watu juu ya uhusiano wake na mwanadada Aunt Ezekiel na kwamba ndoto zake za kumuoa ziko palepale.

 

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Iyobo alisema wapo watu wanaotamani siku moja waachane lakini anajua ni kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa kuwa mizizi ya penzi lao imekwenda chini sana.

 

“Mimi natarajia kumuoa Aunt kwani ana kila sifa ya kuwa mke wangu, na nitakuwa mfano bora kwa mastaa wote na kuondoa ile dhana kuwa mastaa hawadumu kwenye ndoa,” alisema Iyobo.

STORI: Imelda Mtema

DIAMOND ATUA SUMBAWANGA KWA NDEGE, MAPOKEZI YAKE BALAA! (VIDEO)

                  PART 1

 

                 PART 2

Comments are closed.