The House of Favourite Newspapers

JISHINDIE ZAWADI ZA KRISMAS! GB 50 ZA BUNDLE KUTOLEWA BURE!

Global Publishers imeamua kutoa zawadi ya X-Mass kwa wasomaji wake katika msimu huu wa sikukuu. Unaweza kujishindia zawadi hiyo ya KIFURUSHI CHA INTANETI cha GB 10 ambayo atapewa kila mshindi kwa mtandao unaoutumia.

 

JINSI YA KUSHIRIKI

  1. Follow akaunti yetu ya Instagram @GlobalPublishers kama bado hujafanya hivyo na kisha Like picha hiyo hapo.
  2. Acha komenti yako hapa chini, kuonyesha umeshiriki.
  3. Mtagi rafiki yako yeyote, unaweza kuwatagi hadi marafiki wengi zaidi kadri uwezavyo.
  4. Malizia kwa kuandika Hash Tag ya; #InstallGlobalPublishersApp (hii itakuongezea nafasi ya kushinda zawadi zaidi ya moja).

 

MAELEZO YA ZAWADI

Washindi watapatikana kwa KUCHANGANYA na KUCHEZESHA droo ya majina ya akaunti za washiriki kutumia SOFTWARE MAALUM ya kuchagua majina BILA UPENDELEO WOWOTE (Random Picking).

Washindi wataarifiwa kwa meseji moja kwa moja kwenye akaunti zao (DM) na watatakiwa kutuma namba zao za simu.

Mshindi atatakiwa kujitambulisha na kuthibitisha umiliki wa akaunti yake kabla ya kupewa zawadi yake ya KIFURUSHI moja kwa moja kwenye SIMU YAKE.

 

MASHARTI

Mhiriki awe nchini Tanzania na mwenye umri wa kuanzia miaka 18, bila kujali jinsia.

Wafanyakazi wa Global Publishers hawaruhusiwi kushiriki shindano hili.

Mshindi atatakiwa ku-repost picha hiyo kwenye Instagram page yake na kuthibitisha kuwa kweli ameshinda na kupata zawadi kutoka @GlobalPublishers.

SHINDANO litaanza IJUMAA Desemba 22 hadi JUMATATU Desemba 25, 2017 –  Saa 10:00 jioni.

 

TAHADHARI

Shindano hili linaendeshwa na Global Publishers. Instagram hawajadhamini wala hawahusiki na maudhui ya shindano hili. Kwa kushiriki, unakiri kuwa UNA UMRI zaidi ya miaka 18 na kwamba umesoma na kukubaliana na masharti na vigezo vya shindano hili.

Haya twende sasa……

Comments are closed.