The House of Favourite Newspapers

JKT Queens Yakomaa na Yanga

 

MABINGWA wa­tetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, maarufu kama Serengeti Lite Wamen’s Premier League wamepania kuwanyoosha Yanga Princess katika mchezo wao wa leo Jumapili utakaochezwa Uwanja wa Mej.Gen.Isamuhyo.

JKT Queens ambao mpaka sasa hawajapoteza mchezo kati ya sita waliyo­cheza waliwanyoosha bao 1-0 wapinzani wao wakubwa Simba katika mchezo wao waliocheza Uwanja wa Karume.

 

Akizungumza na Spoti Xtra linalotoka kila Alhamisi na Jumapili, Kocha wa JKT Queens, Ally Ally alisema; “Kila mchezo una mi­pango yake mimi nikiwa ni mwalimu mbinu nilizotumia kuwafunga Simba zitakuwa tofauti na nitakazotumia leo kupambana na Yanga tutakapokuwa tunacheza U\uwanjani.”

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.