Jokate Amuandikia Ujumbe Huu Ali Kiba
Kupendwa raha! hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya staa kwenye tasnia ya mitindo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kumuandikia mpenzi wake, Ali Kiba ‘King Kiba’ ujumbe mzuri ambao amedai umetoka kwenye sakafu ya moyo wake.
Mwanamitindo huyo ambaye yupo karibu zaidi na mkali huyo wa wimbo ‘Aje’, kupitia ukurasa wake wa instagram, jana alimsifia msanii huyo huku akiichambua show yake aliyoifanya usiku wa kuamkia Jumapili katika tamasha la Fiesta Dar es salaam.
Maneno ya Jokate haya hapa:
Comments are closed.