The House of Favourite Newspapers

JPM, JK, Lowassa Walivyomzika Mzee Kingunge – Video

Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Gharib Bilali akiweka shada kwenye kaburi la Mzee Kingunge.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wameungana na waombolezaji wengine kuupumzisha mwili wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge, katika nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

 

Rasi Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akiweka shada.

 

Mbali na magufuli na Kikwete, viongozi wengine waliohudhuria mazishi hayo ni Marais Wastaafu, Benjamin Mkapa, Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Gharib Bilali na viongozi wengine wengi wa Serikali, vyama na dini.

Rais Mstaafu, Mzee benjamini Mkapa akiweka shada.

 

Rais Mstaafu, Mzee Ali Hassan Mwinyi akiweka shada.

 

Rais Magufuli akisali kaburini kwa marehemu.

 

Rais Magufuli akiweka shada kwenye kaburi la marehemu.

 

Mtoto wa Marehemu, Kinjekitile Ngombale Mwiru ‘Kinje’ akiweka shada kwenye kaburi la baba yake.

 

Waombolezaji wakiweka udongo kaburini.

 

Mkwe wa marehemu (mke wa kinje) akiweka udongo kwenye kaburi.

 

Ibada ya mazishi ikiendelea.

 

Comments are closed.