The House of Favourite Newspapers

Juliet Alia na Wanaume!

Juliet Ibrahim

MKONGWE wa filamu kutoka Ghollywood, Juliet Ibrahim ameweka wazi kuwa anawachukia wanaume kwa kuwa ni waongo kupitiliza.

Juliet anayetikisa na Filamu ya London Fever alitumia ukurasa wake wa Instagram kuwananga wanaume kuwa, wana uwezo wa kutengeneza uongo mwingi kumdanganya mwanamke.

“Wanaume jinsi walivyo waongo hadi kuna wakati nafikiri vibaya kuwa Eva hakuwa wa kwanza kulila tunda.” Juliet anadaiwa kutoka kimapenzi kwa siri na staa wa filamu kutoka Nigeria, Iceberg Slim.  

ACCRA, Ghana

Comments are closed.