The House of Favourite Newspapers

JUSTIN BIEBER AOMBA URAIA WA MAREKANI

Image result for justin bieber in london

MWANAMUZIKI kijana ambaye ni raia wa Canada, Justin Bieber, ametuma maombi ya kuwa raia wa Marekani, ambapo atabaki pia na uraia wake wa Canada.

Pamoja na kueleza kwake kwamba anaipenda Marekani, ni dhahiri ataipenda zaidi wakati akimwoa mchumba wake, Hailey Baldwin, ambaye ni Mmarekani.

Justina alizaliwa Ontario, Canada, lakini alihamia Atlanta, Marekani, akiwa na umri wa miaka 13 ambako ameishi na kujiendeleza kimuziki na kuwa tajiri mkubwa.

Nyumba yake iliyoko nchini Canada.

Comments are closed.